mkuu fisi hashindwi mfupa we ww mjibu vzuri ila ukisharamba sukari we sepa
kwani ye kasema anataka kuchonga mzinga? kwanza mwanamke kamahuyo ni mfume jike....tafakari chukua hatua!Atasepa mpaka lini? Au kusepa ndo kutamsaidia kupata mpenzi bora?
Enzi za Mwl. mabinti walikuwa na swaga za hivyo, tulichofanya ni kubembeleza kwa mahaba mazito hadi unakula mzigo. Siku zinavyosonga taratibu anakuwa ana''miss'' uwepo wako ukiwa haupo. Badala ya kumvuta mkono kumwingiza chumbani yeye anakuwa anataka mwenyewe.
one sided relationship...huyo ni miongoni mwa wale wenye kutaka kuangaikiwa tu wakijidai sie ndo wenye shida, na kweli ndo sisi tuna shida na ndo maana shida ikituisha tunasepa ili na mwingine mwenye shida aende akapatiweMkuu ufafanuzi kidogo hapa kwa 'mfume jike'. Bila shaka unamaanisha mfumo jike..ndio upo hivi huo mfumo?
one sided relationship...huyo ni miongoni mwa wale wenye kutaka kuangaikiwa tu wakijidai sie ndo wenye shida, na kweli ndo sisi tuna shida na ndo maana shida ikituisha tunasepa ili na mwingine mwenye shida aende akapatiwe