Huyu mama mkwe simuelewi?

I agree with you! wapo baadhi ya wazazi uelewa wao ni mkubwa sana kiasi ya kwamba they would treat someone's son/daughter as his/her own
Hata kama watakutreat km their son/daughter hawawezi wakakuachanisha eti kisa kijana/binti hajielewi, wengi wanaamini kuwa na familia I mean mke/mume na mtoto in chanzo cha mtu kubadilisha mwenendo wake na tabia zake lazima apunguze baadhi ya ujinga ujinga
 
kama wangu
 
Yachambue maneno yao, pengine kuna kitu hujakifahamu kuhusu huyo jamaa
 
Tatizo waomba ushauri wengi huchagua na hutarajia ushauri ambao washapanga wausikilize.Ukishauri tofauti basi we mbaya.
 
Ukiona mwanamke mnagombana kwenye uchumba ukimuoa utateseka Sana.
Ndicho alichokiona huyo mama wa jamaa.
Yaani uchumba tu malumbano kibao. Ukipewa kale kacheti kenu huyo jamaa anaweza asiwe anarudi kabisa nyumbani.
 
Alafu hio future yako wameiona hao ndugu wanaokushauri au unahisi tu kuwa una future kumbe unawazia mkunyege wa jamaa utakapoingia kwenye ndoa?
Yote yawezekana ,,,inawezekana wamekuona wewe una nyota ya punda na hivyo utambeba kila mwenye ndefu na kuharibu future ya kijana wao,,
Ama wameona wakuepushe na siri ya kijana wao waijuwayo wao,,,
Nimechomekea tu,,( jiwe voice)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…