Huyu mama mkwe simuelewi?

Meridah Tough

Senior Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
136
Reaction score
365
Habari wana JF?

Nadhani niliwaletea mkasa wa mimi kugombana na boyfriend wangu kiufupi nilitambulishwa na nilifahamiana na mama mkwe na ndugu wote wa ex boyfriend wangu pamoja na wao kuwafahamu ndugu zetu na kuna muda wanakuja hadi nyumbani kusalimia.

Inapotokea ugomvi na mwenzangu, wao wanakua chachu na kuchochea sisi kuachana.

Tofauti na mategemeo ya kuona wao wakiwa mstari wa kwanza kutusuluhisha lakini wao wanakua wa kwanza kunipa ushauri wa kuachana na mwenzangu kua sitomuweza nk nk.

Swali kubwa nililokua najiuliza, sijawahi ona mama akikataa mkwe mzuri mpole na mwenye future hata kama mwanae ni kibaka. Ila akipata mkwe ambaye anajielewa anakua chachu ya mapenzi yao.

Wenzangu nimekutana na hizo kasumba na je ni dalili za kua sitakiwi kama mkwe? kwa nini wasimwambie mwenyewe kua huyu dada achana nae?
 
Mtoto wao wanamjua wao vizuri kuliko wewe. Inawezekana wanajua kwanini wanakushauri uachane nae. Huwezi kujua unaepushwa na nini.

Ila kikubwa isikilize nafsi yako, ushauri wetu unaweza usikubadilishr kwa namna yoyote
 
Hapo lazima ujiongeze kwa maana hao waliokwambia ni watu ambao wanamfahu vizur uyo ndugu yao kwa iyo tafakari chukua maamuzi bado ujachelewa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada jtahd usettle unapotaka kuomba ushaur afu vtu vingine vidogo vidogo so vya kuleta hapa inaonesha n jinsi gan uwezo wa kufikir unakuwa mdogo(poor thinking capacity) lakn pia nmejarbu kupitia nyuz zako kwanza hazina ushirikiano yan hamna connection ya matukio pengine nmeona unamiaka 25-na pengine 28 sikuelew kwakwl alafu kama n ex mama yake anaingiaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanakuonea huruma future yako inaharibiwa na mtu ambaye hata future yake haielewi.
Huwa inatokea kwa wazazi ambao hawalei ujinga.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
I agree with you! wapo baadhi ya wazazi uelewa wao ni mkubwa sana kiasi ya kwamba they would treat someone's son/daughter as his/her own
 
I agree with you! wapo baadhi ya wazazi uelewa wao ni mkubwa sana kiasi ya kwamba they would treat someone's son/daughter as his/her own
Absolutely correct!!
Ninatamani nipate Parents-in- law wa hivyo [emoji23].
Maisha hayatabanana.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Absolutely correct!!
Ninatamani nipate Parents-in- law wa hivyo [emoji23].
Maisha hayatabanana.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Maombi yaongezeke! Maana hawa wazazi wa kiswahili hawatabiriki
 
Wanakuonea huruma future yako inaharibiwa na mtu ambaye hata future yake haielewi.
Huwa inatokea kwa wazazi ambao hawalei ujinga.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Kama mama mkwe anampenda huyo binti angekuwa chachu ya mahusiano yao kuendelea hata kama kijana ni mkorofi mama angetamani kuona anapata mwenza /mke wa kumtuliza mwanae hasa kama kijana hajielewi wazazi wengi huwa wanatamani kijana apate familia wanaamini kidogo atatulia kulingana na majukumu kama kichwa cha familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…