Huyu Madabida ni nani?

Moony

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
1,599
Reaction score
436
Jana mh mmoja mjengoni kwa jina la Madabida alikoroma sana hadi Zungu akakereka.
Naskia ni Mndengereko, nduguye Nyanchoka ( Mama Salma).
Aliongea sana kwa jazba akiunga hoja mia kwa mia na kuwakoromea wote wanao criticize bajeti. Nilivyomuona anatafuta umaarufu ili mh Rais amuone ili ampe uwaziri.
Akipewa uwaziri huyu wizara itaendeshwa kwa jazba na visasi. Amechukia sana watu ku quote mawazo ya kamati yake. Pia anadhani watu wanaotumia mtandao ni wajinga wasio na kazi.

Kuna mtu anamjua vizuri? CV yake n.k?
 
Haya ndio mapashukuna yetu hapa Dar na huu ndio mtandao wa ukabila na udini ambao upo CCM mkoa wa Dar es salaam, ila mungu mkubwa Mume wake bwana Madabida aligombea ubunge kwa tiketi ya CCM kule Rufiji au Kilwa kama sikosei na akapigwa chini na mgombea wa CUF. ukitaka kulijuwa jimbo lake fuatilia majimbo ya CUF 2 huku Tanganyika kuna Lindi Mjini na la pili nimesahau jina lake, hapo ndipo alipofia Madabida. Nilifurahi sana huyu jamaa kupigwa chini.
 
huyu maza si ndio anamiliki kiwanda cha dawa cha arusha TPI?
 
Huyo maza ni mkewe Ramadhani Madabida ambaye wasifu wake umeelezewa hapo juu na Kintinku
 

thanks, but the MP is Mrs Zareena Madabida. what is she?
 
hao ndo wazuri wadhaifu wanaimarisha upinzani
 
Kilwa kusini.
 
nahisi ujumbe wa jana wa mchungaji Msigwa ulimlenga mama Madabida pia, kwasababu Msigwa alisema kuna watu wanaleta mambo ya khanga bungeni. Na ukiangalia utaona kweli Zarina Madabida alichangia nonsense kwenye bajeti ile jana.
 
Huyo naye ni mmoja wa mafisadi hapa Tanzania kwani kampuni ya madawa NAPCO ilimfia mkononi. Kukwepa mkono wa sheria akajiingiza kwenye siasa na yeye na mme wake ni maswahiba wa jk (dhaifu).
 
Ni yeye na mume wake na walikuwa wanamiliki maduka kadhaa ya dawa hapa Dar.
 

Madabida ni mzabizabina mnjelepina zarizarina.... malizia mwenyewe nazani unajua wabunge wote wa CCM ni bendera
 
Huyo mama ni PHARMACIST..wasomi wa kale wa chuo cha muhimbili... na alikua na cheo cha juu sana katika kwenye bodi ya wafamasia tz..anamiliki TPI kiwanda cha dawa...
 


Huyu ni mkewe mjanja mmoja hapo Dar anaitwa Ramadhani Madabida .Kujuana huko watu watetea kula kwa uwazi .
 
Huyu Mama aliwaliza wanawake wa Dar es Salaamu yeye pamoja na Mama Rupia na Janet Kahama walifanya utapeli wa upati wanawake wengi waliachwa na waume zao,wengine walikunywa sumu wakafa,wengine walipata vichaa ,walikuwa wanaendesha mchezo wa upatu wakijidai wa kusomesha watoto shule,wanawake walivyompeleka polisi Tibaigana alisema walicheza kamari na kamari hairuhusiwi ,fedha za kuanzishia kiwanda cha mumewe kilitokana na fedha za dhuluma za wanawake waliocheza mchezo aliouendesha yeye ndio alikuwa injinia wa mchezo na marafiki zake
 

Sasa anataka uwaziri ili apore vizuri? manake kila akichangia hoja kunakuwa na mazingira ya uchu na uroho
 

Wewe CV yake itakusaidia nini?? Mimi namjua vzr madabida, ni CCM mwenzangu na jirani yangu pia. Acheni mapovu jamani Chadema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…