Huyu Lekamwa yuko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu Lekamwa yuko wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dotto, Sep 16, 2011.

 1. d

  dotto JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Wanajamii kama mnakumbuka kuna jamaa alisimangwa na kushitakiwa kwa kosa la KUSIGINA KATIBA. Jamaa huyu anaitwa nani na yuko wapi? Kulingana na katiba hii tuliyonayo na uelewa huu wa wananchi juu ya vipandevipande vya katiba; jamii ya leo ingemuona vipi na kitendo hicho?
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Sep 16, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,805
  Likes Received: 1,590
  Trophy Points: 280
  Leo Lwekamwa alikuwa mwanzilishi wa Tanzania Labour Party (TLP). Akamkaribisha Lyatonga Mrema chamani, Lyatonga akamng'oa chamani!! Kwa sasa Lwekamwa ana kesi na viongozi wa club ya Yanga!!
   
 3. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mtikila aliomba kununua hiyo kesi ya kukayaga katiba ili ashtakiwe yeye badala ya Deo
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,838
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  huyu bwana nae ana kipipili........................huh
   
 5. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kuna kipindi cha kutafuatana kule Radio One. Huko labda utapata majibu.
   
 6. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 3,556
  Likes Received: 1,939
  Trophy Points: 280

  Mkuu nadhani jina lake ni Leo sio Deo....ila Mtikila jamani ni noma yaani ni mtu wa full utata.
   
Loading...