Huyu kuku vipi yeye muda usio maalumu anawika, nahisi pasaka haitafika sijampiga kisu?

Kizota

Member
Mar 2, 2021
46
81
Muda wa saa nne za Usiku anawika saa saba za Usiku anawika, anataka nitoke niende wapi usiku wote huo, labda anajua mi mturutumbi anakosea sana tena ni mwehu,

Kuku wenzake wa majirani wanawika kwa muda maalum utawasikia saa kumi, kumi na moja na kumi na mbili za alfajiri, ama anaumwa huyu kuku? Toka nijisemeshe hawezi fika pasaka nampa kisu cha utosi basi kuwika hakuishi humu ndani, ndio sina banda analala jikoni,

Nimemwekea maji ya dawa machoni ugonjwa uishe kama anaumwa daktari wa wanyama anasema nimekosea ningempa kwenye maji anywe, yani tabu sana na huyu kuku na yeye yupo mmoja tu huyu sijui ila nimeshajua cha kufanya? 😁

Nb; chizi sio lazima wawe hospital tu ata humu pia mnao,.
 
Kapime Malaria kwanza
 
Nimemwekea maji ya dawa machoni ugonjwa uishe kama anaumwa daktari wa wanyama anasema nimekosea ningempa kwenye maji anywe, yani tabu sana na huyu kuku na yeye yupo mmoja tu huyu sijui ila nimeshajua cha kufanya?

Nb; chizi sio lazima wawe hospital tu ata humu pia mnao,.
Mtengenezee banda uone kama atawika hovyo hovyo tena.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Anaumwa ugonjwa unaitwa wicadonedicistician
Huwapata zaidi kuku weusi
Ni weupe kwa uchache
Husababishwa na bacteria aina ya ceposcedonia
Ushauri
Mpuuzie akiwika au wika na wew mshindane
 
Muda wa saa nne za Usiku anawika saa saba za Usiku anawika, anataka nitoke niende wapi usiku wote huo, labda anajua mi mturutumbi anakosea sana tena ni mwehu,

Kuku wenzake wa majirani wanawika kwa muda maalum utawasikia saa kumi, kumi na moja na kumi na mbili za alfajiri, ama anaumwa huyu kuku? Toka nijisemeshe hawezi fika pasaka nampa kisu cha utosi basi kuwika hakuishi humu ndani, ndio sina banda analala jikoni,

Nimemwekea maji ya dawa machoni ugonjwa uishe kama anaumwa daktari wa wanyama anasema nimekosea ningempa kwenye maji anywe, yani tabu sana na huyu kuku na yeye yupo mmoja tu huyu sijui ila nimeshajua cha kufanya? 😁

Nb; chizi sio lazima wawe hospital tu ata humu pia mnao,.
Anaashiria mwana mpotevu kupatioana akiwa maiti. Buriani mwana mtukutu uliyegoma kumsikiliza mwalimu wa afya
 
Majogoo ya Vijijini huwa yanajichanganya sana yafikapo kwenye Big City haswa kutokana na umeme
 
Umelitoa bush likikuwa linawika kwa kuona jua sasa huku mjini mmefunga mataa yenu yenye sensor yanamvuruga. Vumilia pasaka imebaki siku chache lipige kisu usherekee kwa kula kwiooo
 
Wana jf huu uzi mi nimeuanzisha ili ukae kae kidogo mods wasiufute, ili niombe nilichokuwa nataka kuomba kwenu, maana ukishaonekana tena wanafuta maana utakaa juu tena, na watafuta mi nashida na elfu kumi na tano tu ata elfu kumi inatosha pia, matumizi kwangu yamenishinda hela haitoshi nafanya kazi kiwanda cha kupakia,kupakua mizigo ya pamba napo sahivi mpaka watuite tupo tumekaa tu, pamba haipatikani msaada wadau🙏🙏 0622730684
 
kwanini usimuuze tu huyo kuku mkuu ukapata hiyo pesa?
 
bro uzi nimeanzisha tu ni wa utani tu ili kuwazuga mods ili baadaye nipate lengo langu kama hivi ukae kidogo, maana hawachelewi ata sahivi wapo kwenye taiming
sawa mkuu
Pole sana kwa hali unayopitia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom