wapenda masabuli utawajua tu!!!Anaonekana ana masaburi laini sana.
Kusema cha ukweli.Anaonekana ana masaburi laini sana.
Na maini hayazeeki.wapenda masabuli utawajua tu!!!
well said bro.........Kwani hata kama kikongwe (unless wewe ni pedophile unayetafuta vitoto sioni utamuonaje huyu kuwa ni kikongwe, kikongwe ni zaidi ya mtu mzima na mzee, halafu kutumia ki- kunaonyesha dharau kubwa) kikongwe hana haki ya kujisikia vizuri?
Kama anatafuta vikongwe wenzake je? Wewe tatizo lako nini? Kama sio zako usimind.
Jigga anakwambia "It cost you nothing, pay her no mind"
Au ndiyo visasi vya vibuti vyenyewe hivi?
Huyu siyo yule mbunge aliyemlipua Jairo Bungeni?