Jitahidi kuboresha penzi lako tena huwenda umezembea mahali, usikubali tu kumpoteza kirahisi kwa vile unaweza kumpata mwingine, the issue is utakuwa na wangapi?
Mbona una ji stress bila sababu? muite mwambie naona things are not working well with us nimeona bora kila mtu ashike 50 zake,as simple as that,ila tuu hakikisha huyo ulokua nae umemthibiti manake ukilikorogo huko ujue kurudi nyuma Mwiko,nimbele kwa mbele....
Embu chunguza kwanza. Usiwe wa kukurupuka na kuchukua maamuzi bila uchunguzi. Mwenzio huendankuwa kuna kitu anakosa kwako.. ndio maana kabadilika. Au ana mchepuko mahali. Lakin haya yote utayajua palenuyakapo chunguza.. ukaupata ukweli.. then ukachukua hatua.
Kama moyo wako umeshasema basi,mweleze ukweli kua its Over between us na a move on na life yake,atakushukuru miaka ijayo kwa kumwambia ukweli......Nishafanya hivyo zaidi ya Mara 3 tunaachana kesho yake ananipigia simu na kulia lia tunayamaliza coz bado nampenda this time nataka nimuache kabisaaa
Usikute wewe ndio sababu ya yeye kubadilikaAmebadilika hayupo kama mwanzo
Sasa ili asiniache nataka mm nimwache mapema kabisa akija kushtuka me nimemtoa moyoni mda
Kama umeshafanya kila linalowezekana kurudisha penz lenu na umeona kila mbinu uliotumia imeshindikana basi mueleze ukweli tu ikiwezekana muachane kwa amani, mambo ya kuachana na kurudiana sio.Nimejaribu kama Mara nyingi tunaongea then after 2 days anarudia hali yake
Yawezekana muda huu unataka uanze ww kumuacha na kumsahau mwenzio kumbe na yeye ameshakuacha kitambo sana hujui tu,naona kitambo mlikuwa mnaviziana nani aanze kusema mapenzi basi,aisee!!!!!Amebadilika hayupo kama mwanzo
Sasa ili asiniache nataka mm nimwache mapema kabisa akija kushtuka me nimemtoa moyoni mda