GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,424
- 120,768
Nimemfuatilia Hapa ITV Ktk Kipindi Cha MALUMBANO YA HOJA Lakini Nimegundua Kuwa Jamaa Ana DHARAU KALI NA ILIYOTUKUKA. Mliofuatilia Nadhani Mtakubaliana Na Mimi. Wajumbe Wanazungumzia UOZO Wa TFF Kiutendaji Na Hasa Kitendo Cha Rais Wa TFF Jamal Malinzi Kufanya UPENDELEO Ktk Kundi La Ushangiliaji Ambalo Karigo Godson Karigo Ndiyo Kiongozi Wake. Alichokijibu Ni Kuwa YEYE HATEGEMEI MBELEKO YA MALINZI KWANI ANA HELA YA KWENDA POPOTE PALE DUNIANI HATA USIKU HUU HUU KWANI ANA HELA ZA KUTUKUKA.
Kipindi Kizima Yeye BADALA Ya KUJIBU Hoja Anachokifanya Ni KUJISIFU, KUKASHIFU Na Kuonyesha DHARAU Kwa Watangazaji Akina Kambaya Na Kapalatu Na Sana Sana Kwa Kwa WACHANGIAIJI Waliokuwepo Pale Waliokuwa WAKIHOJI Mambo Ya Chama Chake Cha USHANGILIAJI.
Kwa Dharau Zake Hizi Nahisi Huyu Karigo Godson Karigo Hana Tofauti Na Yule FISADI Wa Enzi Za Hayati Baba Wa Taifa Aliyesema Kuwa HAKUNA WA KUMFANYA KITU HAPA TANZANIA KWANI SERIKALI YOTE YA TANZANIA AMEIWEKA MFUKONI Hadi Nyerere ALIPOMNYOOSHA.
Ushauri Wangu Kwa ITV Siku Nyingine Angalieni Aina Gani Ya WAGENI Mnawaalika Hapo Studioni Kwenu Kwani Kwa Aina Hii Ya WAGENI Wenye NYODO, MAJIGAMBO Na DHARAU Kwa Wengine Kutawaharibieni CREDIBILITY Yenu Kama Chombo Ambacho Ni SUPER BRAND. Kama Vipi Karigo Godson Karigo ATUOMBE RADHI WATANZANIA NA HASA WATAZAMAJI Wote Tulioshuhudia ALICHOKUWA Akikifanya.