valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,855
- 895
Huyo kaka anakusaidia ili ule fungate la kweli.
Sio unaolewa huku ushagongwa na pipo si chini 137. Hadi unakuwa HUMAN SCRAPER.
muheshimu braza wako,mwambie huyo jamaa alete posa,akuoe halafu mtafanya huo mchezo unaoutaka. Nalog off
Mchezo wa kibaba baba. Nalog offkumbe kuna mchezo,upi huo?
unataka boi friend wa nini..mbona mapema sana, ukiwa mkubwa si ndio utataka punda?? Kaka yako anakupenda hataki yakukute ya ku kukuta.! Soma kwanza, ila ukiona unawashwa sana, nitafute.
wewe binti unaonekana mbishi sana wewe. Yaani wenzio wanakushauri lakini hata huelewi kabisa. Haya basi nenda ukampe hawara yako hicho kitumbua chako akuambuze maukimwi yake. Tena kama vipi mkingie hata tigo akuchanechane.
Mie mwenyewe nina akili yangu, kwani sijui ngono salama!
Siku zote mwanamke hana mamlaka juu ya mwili wake kwahiyo swala la ngono salama halitabiriki itategemea uelewa wa uliyenaye!kama nimtu wa kujilipua pole!Mie mwenyewe nina akili yangu, kwani sijui ngono salama!
Eti jamani, ni haki kaka kumlinda mdogo wake wa kike ambaye ni zaidi ya miaka 18 asiwe na Boy Friend?
Mie huyu kaka yangu mwenzenu keshanichosha, natamani hata kumtovuga!
Kua G'friend wangu,nitampa sound broda wako hadi atafurahia relation yetu,serius!Eti jamani, ni haki kaka kumlinda mdogo wake wa kike ambaye ni zaidi ya miaka 18 asiwe na Boy Friend?
Mie huyu kaka yangu mwenzenu keshanichosha, natamani hata kumtovuga!