Huyu kaka nampenda, ila siwezi kumwambia

Kama umeweza kutuambia sisi unashindwa nn kumwambia yeye tena mkiwa wawili humu tuko wengi sasa mkikutana ujikakamuwe vizuri umweleze ukumbuke tu kufanya haja zote kubwa na ndogo hili zisitoke wakati ukimueleza yako ya moyoni.
Yaani umeniwahi mkuu, daah
 
Habari zenu wana, kuna kaka mmoja huko kitaa nampenda sana ila kumwambia siwezi na sijawahi kumpenda mwanaume lakini huyu kiboko. kwa kifupi huyu kaka anafanya kazi za night cjui ni mlinzi ni kijana mwenzangu huwa tunapishana asubuhi mi nikiwa naenda kazini yeye anarudi kazini nimetokea kumpenda ila kumwambia siwezi na huwa tunapishana lakini atusalimiani sijui na yeye atakuwa ananipenda kuniambia hawezi na leo hii tumepishana tumebaki kuangaliana binafsi kwa sasa sina mpenzi... nasisitiza nampenda sana

Ushauri pls
wanawake mnashindwaga hapo tu.......ukikutana naye msimamishe msalimie then mwambie nigependa kuongea na wewe......kama yuko bize chukua no. yake kama hayuko bize.......palepale mchane tu kwamba i 've fallen in love with you, i want you to be my man, please merry me........simple and clear
 
Habari zenu wana, kuna kaka mmoja huko kitaa nampenda sana ila kumwambia siwezi na sijawahi kumpenda mwanaume lakini huyu kiboko. kwa kifupi huyu kaka anafanya kazi za night cjui ni mlinzi ni kijana mwenzangu huwa tunapishana asubuhi mi nikiwa naenda kazini yeye anarudi kazini nimetokea kumpenda ila kumwambia siwezi na huwa tunapishana lakini atusalimiani sijui na yeye atakuwa ananipenda kuniambia hawezi na leo hii tumepishana tumebaki kuangaliana binafsi kwa sasa sina mpenzi... nasisitiza nampenda sana

Ushauri pls

Karibu wanawake wote ndio wanatongoza wanaume ila kwa vitendo na sio maneno; na 'vitendo vinaongea kuliko maneno'; na wanaume wengi makini wanao uzoefu wa kung'amua hilo. Pia utakiwi kumwambia kwa maneno kwani yawezekana ana mke au mpenzi wake ambaye kwa yeye anaona ni mzuri kuliko wewe; na pia ni committed kwa huyo wake.

Mnapopishana anageukaga nyuma kukutazama?
 
Ushauri ni huu hapa, chekecha katika woote wanaokutongoza mkubali mmoja utakuja kumpenda automatically.

Wanaume wana matatizo sana ukimtongoza wewe jiridhishe kweli wewe ni mwanamke mwenye mvuto atakupenda pia, lakini otherwise atakumega na kusepa tu au utakuwa spair tyre. U deserve better my dear.
 
Karibu wanawake wote ndio wanatongoza wanaume ila kwa vitendo na sio maneno; na 'vitendo vinaongea kuliko maneno'; na wanaume wengi makini wanao uzoefu wa kung'amua hilo. Pia utakiwi kumwambia kwa maneno kwani yawezekana ana mke au mpenzi wake ambaye kwa yeye anaona ni mzuri kuliko wewe; na pia ni committed kwa huyo wake.

Mnapopishana anageukaga nyuma kukutazama?
tunapopishana sidhani kama ananitazama kwa sababu sijawahi hata siku moja kumgeukia pindi ninapopishana nae
 
Habari zenu wana, kuna kaka mmoja huko kitaa nampenda sana ila kumwambia siwezi na sijawahi kumpenda mwanaume lakini huyu kiboko. kwa kifupi huyu kaka anafanya kazi za night cjui ni mlinzi ni kijana mwenzangu huwa tunapishana asubuhi mi nikiwa naenda kazini yeye anarudi kazini nimetokea kumpenda ila kumwambia siwezi na huwa tunapishana lakini atusalimiani sijui na yeye atakuwa ananipenda kuniambia hawezi na leo hii tumepishana tumebaki kuangaliana binafsi kwa sasa sina mpenzi... nasisitiza nampenda sana

Ushauri pls
WANAWAKE WA MWENDO KASI HAWA, ANYWAY FUNGUA MOYO MWELEZE UKWELI KAMA KWELI UNAMPENDA.
 
Here's the trick, next time mnapishana, dondosha chochote ulichonacho mkononi. Akijaribu kusaidia kuokota, hapo hapo mnaanzisha mazoea. Au unaweza kujidondosha mwenyewe pia.

Au just flash the guy tu. Mkipishana, pull up whatever is convenient to you, and let him see the merchandise.
Hahaha...hiyo ya kujidondosha yeye mwenyewe ndio nzuri,tena ajifanye amezimia kabisa jamaa ampeleke faragha akampepee then the story comes on the table.
 
Ukikutana naye msalimie. Ili kujenga urafik uckute na yeye anakupenda ila domo zege. Jipendekeze kwake mwanamke kumu approach mwanaume inakua ni kamtihan kdg. Ila jisogeze sogeze kwake muwe marafik mnaweza fika huko. Ol the best
siwezi kumsalimia, mpaka anianze mwenyewe kwa sababu mimi huwa sinaga mazoea na vijana wa kitaa
 
Back
Top Bottom