Huyu kaka nampenda, ila siwezi kumwambia

estlyjonathan

Member
May 26, 2016
84
122
Habari zenu wana,

Kuna kaka mmoja huko kitaa nampenda sana ila kumwambia siwezi na sijawahi kumpenda mwanaume lakini huyu kiboko.Kwa kifupi huyu kaka anafanya kazi za night sijui ni mlinzi ni kijana mwenzangu.

Huwa tunapishana asubuhi mi nikiwa naenda kazini yeye anarudi kazini nimetokea kumpenda ila kumwambia siwezi na huwa tunapishana lakini atusalimiani sijui na yeye atakuwa ananipenda kuniambia hawezi na leo hii tumepishana tumebaki kuangaliana binafsi kwa sasa sina mpenzi nasisitiza nampenda sana.

Ushauri please
 
Mmmm ! Unampenda unataka akuoe au unampenda kwa mda halafu basi? kama ni kwa kheir anza na salam la nikwa shari
basi kula kwa macho tuu muache apite zake, kwa kheir namanisha Ndoa na shari namaanisha kua nae kwa mda halafu basi kila mtu achukue 50 zake..
 
Habari zenu wana, kuna kaka mmoja huko kitaa nampenda sana ila kumwambia siwezi na sijawahi kumpenda mwanaume lakini huyu kiboko. kwa kifupi huyu kaka anafanya kazi za night cjui ni mlinzi ni kijana mwenzangu huwa tunapishana asubuhi mi nikiwa naenda kazini yeye anarudi kazini nimetokea kumpenda ila kumwambia siwezi na huwa tunapishana lakini atusalimiani sijui na yeye atakuwa ananipenda kuniambia hawezi na leo hii tumepishana tumebaki kuangaliana binafsi kwa sasa sina mpenzi... nasisitiza nampenda sana

Ushauri pls
nipatie namb zako nina imani we utanipenda zaidi ya huyo,sure
 
Habari zenu wana, kuna kaka mmoja huko kitaa nampenda sana ila kumwambia siwezi na sijawahi kumpenda mwanaume lakini huyu kiboko. kwa kifupi huyu kaka anafanya kazi za night cjui ni mlinzi ni kijana mwenzangu huwa tunapishana asubuhi mi nikiwa naenda kazini yeye anarudi kazini nimetokea kumpenda ila kumwambia siwezi na huwa tunapishana lakini atusalimiani sijui na yeye atakuwa ananipenda kuniambia hawezi na leo hii tumepishana tumebaki kuangaliana binafsi kwa sasa sina mpenzi... nasisitiza nampenda sana

Ushauri pls
Usione soo, mwambie ukweli kuliko kuendelea kuumia maisha yenyewe mafupi haya.
 
Habari zenu wana, kuna kaka mmoja huko kitaa nampenda sana ila kumwambia siwezi na sijawahi kumpenda mwanaume lakini huyu kiboko. kwa kifupi huyu kaka anafanya kazi za night cjui ni mlinzi ni kijana mwenzangu huwa tunapishana asubuhi mi nikiwa naenda kazini yeye anarudi kazini nimetokea kumpenda ila kumwambia siwezi na huwa tunapishana lakini atusalimiani sijui na yeye atakuwa ananipenda kuniambia hawezi na leo hii tumepishana tumebaki kuangaliana binafsi kwa sasa sina mpenzi... nasisitiza nampenda sana

Ushauri pls
Owkey, kumbe uko JF, ni mimi nimetoka job mimi ni night auditor.

Karibu kwenye penze langu.
 
Here's the trick, next time mnapishana, dondosha chochote ulichonacho mkononi. Akijaribu kusaidia kuokota, hapo hapo mnaanzisha mazoea. Au unaweza kujidondosha mwenyewe pia.

Au just flash the guy tu. Mkipishana, pull up whatever is convenient to you, and let him see the merchandise.
 
Kama umeweza kutuambia sisi unashindwa nn kumwambia yeye tena mkiwa wawili humu tuko wengi sasa mkikutana ujikakamuwe vizuri umweleze ukumbuke tu kufanya haja zote kubwa na ndogo hili zisitoke wakati ukimueleza yako ya moyoni.
 
Habari zenu wana, kuna kaka mmoja huko kitaa nampenda sana ila kumwambia siwezi na sijawahi kumpenda mwanaume lakini huyu kiboko. kwa kifupi huyu kaka anafanya kazi za night cjui ni mlinzi ni kijana mwenzangu huwa tunapishana asubuhi mi nikiwa naenda kazini yeye anarudi kazini nimetokea kumpenda ila kumwambia siwezi na huwa tunapishana lakini atusalimiani sijui na yeye atakuwa ananipenda kuniambia hawezi na leo hii tumepishana tumebaki kuangaliana binafsi kwa sasa sina mpenzi... nasisitiza nampenda sana

Ushauri pls

Mbona mimi cjampata wakunipenda?
 
Siku mpige picha kimyakimya urushe huku huenda yupo humuhumu!au siku msimamishe mtajie jina la uwongo la mwanmkw mwingine umwambie kuwa huyo maanamke anaomba namba zake za simu akikupa tuu wee hapo ndo aunze machocho yako kwake!!!
 
Kesho km utakutana nae nakabla hamjapishana nae anza kunyonya kidole cha Pete alafu ujigonge muguu mfumo wa kujikwaa na ujiangushe mbele yake lkn ukumbuke kidole chako kinaendelea kunyonywa km kawaida na km utakuwa na pochi au mkoba ujifanye unaurusha lkn mkoba wenyewe umuguse hata miguuni ,so km nae anakupenda ataanza kukunyenyua na pole nyingi alafu atachukuwa mkoba wako na kukukabizi lkn km ataanza na mkoba ujue huyo kibaka,,lkn uwe makini km ni msonjo anaanza na fimbo kwanni hui makini unaanguka ovyo!,,,step nyingine kesho....
 
Back
Top Bottom