Huyu kaka nampenda, ila siwezi kumwambia

Habari zenu wana, kuna kaka mmoja huko kitaa nampenda sana ila kumwambia siwezi na sijawahi kumpenda mwanaume lakini huyu kiboko. kwa kifupi huyu kaka anafanya kazi za night cjui ni mlinzi ni kijana mwenzangu huwa tunapishana asubuhi mi nikiwa naenda kazini yeye anarudi kazini nimetokea kumpenda ila kumwambia siwezi na huwa tunapishana lakini atusalimiani sijui na yeye atakuwa ananipenda kuniambia hawezi na leo hii tumepishana tumebaki kuangaliana binafsi kwa sasa sina mpenzi... nasisitiza nampenda sana

Ushauri pls
ni PM nikupe mbinu za kumnasa....! Hakika akijinasua basi..
 
Khaaa, jaribu siku moja msimamishe kisha jifanye kama umepotea njia akuelekeze na story ndio itanoga hapo. Mambo mengine sasa jiongeze kidogo
 
Jamani wengine hatuna bahati kama hizi. Nani yupo tayari kunipenda.
Mimi
Habari zenu wana,

Kuna kaka mmoja huko kitaa nampenda sana ila kumwambia siwezi na sijawahi kumpenda mwanaume lakini huyu kiboko.Kwa kifupi huyu kaka anafanya kazi za night sijui ni mlinzi ni kijana mwenzangu.

Huwa tunapishana asubuhi mi nikiwa naenda kazini yeye anarudi kazini nimetokea kumpenda ila kumwambia siwezi na huwa tunapishana lakini atusalimiani sijui na yeye atakuwa ananipenda kuniambia hawezi na leo hii tumepishana tumebaki kuangaliana binafsi kwa sasa sina mpenzi nasisitiza nampenda sana.

Ushauri please
 
Yah ni vizuri kumpenda mtu coz Mungu mwenyewe ametuagiza tupendane.good sana umetimiza agizo la Mungu kwamba mpendane ninyi kwa ninyi
 
Here's the trick, next time mnapishana, dondosha chochote ulichonacho mkononi. Akijaribu kusaidia kuokota, hapo hapo mnaanzisha mazoea. Au unaweza kujidondosha mwenyewe pia.

Au just flash the guy tu. Mkipishana, pull up whatever is convenient to you, and let him see the merchandise.
ahahahah mkuu nimefurahi afu nimependa ushauri wako.. iv ata sisi me tunaweza kufanya ivo ikiwa kama kuna ka dalili ka uoga kwenye mtongozo
 
Habari zenu wana,

Kuna kaka mmoja huko kitaa nampenda sana ila kumwambia siwezi na sijawahi kumpenda mwanaume lakini huyu kiboko.Kwa kifupi huyu kaka anafanya kazi za night sijui ni mlinzi ni kijana mwenzangu.

Huwa tunapishana asubuhi mi nikiwa naenda kazini yeye anarudi kazini nimetokea kumpenda ila kumwambia siwezi na huwa tunapishana lakini atusalimiani sijui na yeye atakuwa ananipenda kuniambia hawezi na leo hii tumepishana tumebaki kuangaliana binafsi kwa sasa sina mpenzi nasisitiza nampenda sana.

Ushauri please
Mawasiliano ya macho yenu yakoje!
Akupendaye utagundua tu kwa eye contact....
 
Habari zenu wana,

Kuna kaka mmoja huko kitaa nampenda sana ila kumwambia siwezi na sijawahi kumpenda mwanaume lakini huyu kiboko.Kwa kifupi huyu kaka anafanya kazi za night sijui ni mlinzi ni kijana mwenzangu.

Huwa tunapishana asubuhi mi nikiwa naenda kazini yeye anarudi kazini nimetokea kumpenda ila kumwambia siwezi na huwa tunapishana lakini atusalimiani sijui na yeye atakuwa ananipenda kuniambia hawezi na leo hii tumepishana tumebaki kuangaliana binafsi kwa sasa sina mpenzi nasisitiza nampenda sana.

Ushauri please
Aaaah nazani ni mimi kuna dada mmoja huwa nakutana nae amevalia sketi, brows na skafu,, anapendezaaa.
Lazima nikugegede siku tu ukijidanganya kuja gheto kwangu, sitakuachaa.. nimekula kwa macho nimechoka
 
Niliwaza hivyo hivyo ila mwenzangu naogopa yahitaji ujasiri kwa kweli
Rahisi sana, ukimuona anakuja kwa mbele yako jifanye umepoteza kitu chako unakitafuta nakwambia akikukuta unahangaika hivyo atakusemesha tu.. hapohapo ndo mwanzo wa mazungumzo
 
Habari zenu wana,

Kuna kaka mmoja huko kitaa nampenda sana ila kumwambia siwezi na sijawahi kumpenda mwanaume lakini huyu kiboko.Kwa kifupi huyu kaka anafanya kazi za night sijui ni mlinzi ni kijana mwenzangu.

Huwa tunapishana asubuhi mi nikiwa naenda kazini yeye anarudi kazini nimetokea kumpenda ila kumwambia siwezi na huwa tunapishana lakini atusalimiani sijui na yeye atakuwa ananipenda kuniambia hawezi na leo hii tumepishana tumebaki kuangaliana binafsi kwa sasa sina mpenzi nasisitiza nampenda sana.

Ushauri please
Sawa tumeshajua kuwa hauna mpenzi, jiandae kupokea wageni huko PM
 
Back
Top Bottom