Huyu Kaka Kaniweza

Hujielewi.
 
Dada huna pumzi katika uandishi wako!! Khaa!

Hongera kwa kuwezwa
 
Wabongo hatuwezi acha unafiki
 
Magu legeza kidogo baba watu wako akili zinachoka kufikiria kabisa
 
Hao mliokuwa nao ni dada yako wa kuzaliwa na shemeji yako, mme wa dada yako kabisa kabisa !?

Maana jamaa kajilia mzigo kiulaini kabisa.
 
Naona unajinadi....hongera
 
Uje na Uzi mwingine utueleezee jinsi ufundi wake ulivyo tujipime
 
Dada una matukio lakinii. Visa vingi vingi vimejipanga. Jaribu kuchill kwanza akili itulie.
 
Kwahiyo ushafumuliwa malinda?
 
Kuna mwenzio alipewa 7800 TShs! Wewe umepewa ahsante!
 
Kwa hiyo umeliwa bila kutongozwa
 
Wabongo hatuwezi acha unafiki

Ukiwa na fikra nyoko kama zako ndiyoo unaweza kuita unafiki. Maana akili inakuwa kinyokonyoko, lakini ukifikiri kwa mapana inawezekana tu ndugu. Ni suala la kujifunza na kukubali mabadiliko.Huo mtazamo wako ulifanya kazi zama hizo kabla jamii haijaingiliwa, leo hii mambo ni tofauti kabisa.

Lakini, uzuri wa mambo haya hayahitaji nguvu, taratibu tu tutajishepu wenyewe kuendana na wakati. Unaona leo kumeibuka kundi la wadada hawana mpango na kuolewa, haijaja hivihivi, mfumo umewafikisha hapo. Nani aliwaza kuna siku mwanamke wa Kiafrika anaweza kuishi bila ndoa au kuwekwa ndani? Nani alifikiri kijana wa Kiafrika atakuja kuelelewa na mwanamke?

Jua kali sana
 
Subiri kwanza nitafakari ulichokiandika
 
aisee mambo ni mengi yaani ujasifia kuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…