Huyu Kaka Kaniweza

Hili ka kusema ulitumia kinga na kwamba ulizifuta namba zake bila sababu si kweli, umeogopa tu zodoa zodoa ya Jf.

Hauwezi kutumia condom kisha ukasifia mtu kakuweza, kakuweza kukufanyaje?

Hiyo ilikuwa nikavu kavu mama sisi siyo watoto.

Nikwambie kitu?
Mtaimu hajalewa ili kumhakiki, je yaliyomo yamo na sifa ulizompatia ni zake kweli?

Maana gemu la kilevi huwa si la kimapenzi, ni kamkomoeni na kusaka sifa za ushindi na si mapenzi halisi.

Halafu jamaa akikumbukia na ulivyomsotesha kwa kumringia bila sababu masiku kibao pa1 na gharama alizomwaga tangia aanze kukusororea, lazima atende kama shujaa na ndiyo maana hata "nakupenda" yake hakukupa.
 
Kabisa hadi mwandiko unatetemeka unafikiri kazi aliyofanya baharia ni ndogo? Mkata tiketi niko hapa nshamkatia tiketi yake ya kwenda mbinguni, anaebisha afanye kama anajikuna

Mpandishe cheo aisee[emoji1430][emoji1430]dada kasahau hadi nukta na koma🤣🤣

Cc Kingsmann
 
Kama kawaida Team baharia 3 Team gegedwa 0
 
Unatamani ungekua mwanamke kweli
 
Nimesomaaa sikukuelewa. Yaani umeamua kujitoa utu wako ili dadako na shemejiako wapewe pombe na kupelekwa dansi?? Ni hivyo au? Halafu unasema aliyeambiwa unapendwa ni shemeji huku wewe hukuambiwa. Vichwa vingine ni nazi tu. Huya kesho mkienda tena muombe shem ampe ruksa dadako kwenda muonja huyo Fundi Maiko
 
Wabongo bwana, bado tupo karne ya zamani sana. Hebu tubadilike, kutiana hakuna uhusiano na upendo kihivyo. Kuna mazingira binadamu anahitaji kutiana tu, sema hizo kanuni tulizojiwekea ndiyo zinakwaza. Hao watu , kaka na dada, walikuwa sahihi kabisa. Kama mmeridhia kudinyana poa tu, cha msingi kuzingatia masuala ya afya tu. Mnadinyana mkimaliza kila mtu na safari yake. Ikitokea mtu kakolea sasa kama huyo dada, si vibaya akiomba nafasi kwa mwenzake.

So, binafsi mnaomshambulia huyo dada eti cheap, malaya n.k.,si ajabu nyinyi ndiyo mna sifa hizi. Mimi ninadhani wale wanaojiuza waziwazi wana nafuu kuliko tuliovaa pete za ndoa.Mbongo akiongea hadharani unaweza kusema ni mpwa wake Yesu au Muhamad, kumbe nyoko wa kufa mtu.

Dada endelea kumtafuta jamaa yako akusugue mpaka uchi unuke baruti. Wasikubabaishe!
 
Shetani kazini, na rangi za kuvutia
 
Shetani kazini, na rangi za kuvutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…