Huyu jamaa ni shushushu?

Hivyo ndivo anavofahamika hana taaluma yoyote ile ya inteligence na sio wakala au mwajiriwa wa chombo chochote kile cha intelligence,
 

Kwahiyo Rais Mtarajiwa Yupo Na Gaidi au Muasi? Kweli Watanzania Tupo Ktk Sayari Yetu!
 
Hicho kichogo kinamanipulate data kwa speed kubwa sana inaelekea.
 

Ni shemeji wa Lowasa sio..maana first lady si Mrangi..
 
Vipi jirani yako atagombea Ubunge mwaka huu au kaamua ampiganie EL tu asubirie nafasi za kuteuliwa??

Super Handsome Uwege Na Adabu Basi Muda Mwingine. Jirani Yangu Kivipi Wakati Nina Mwaka Wa Tatu Sasa Nipo Kwetu Kigali Rwanda?
 
Kwanini wanawaua albino wasio na hatia na wanawaacha watu wenye mibichwa kama hii!
 
huyo sio comred sambala kweli?

Jamaa ana majina mengi sana huyu.. Sambala, ziabu unda na jina alokuwa anatumia tukiwa pale sekondari mzumbe morogoro somebody Said. Shuleni jina lake maarufu aliitwa mbunge hata tukiwa shule tulikuwa tunahisi jamaa ni shushushu, aliijua sana siasa huyu jamaa na ni mwandishi na mchora katuni pia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…