Huyo kijana anaitwa Sambala Ole Comrade ni mwanakijiji na diwani wa Mondo wilaya ya Chemba anaishi Kawe ni Team EL muda mrefu na ameshiriki kazi baadhi za kumtangaza EL kwenye mitandao ya kijamii lakini Pia Sambala aliwahi kama bado anaendelea na kuwasiliana na viongozi wa kundi la waasi wa M23