Jonogomero Member Joined Feb 8, 2012 Posts 99 Reaction score 27 Mar 4, 2012 #1 Leo nilikuwa pande za kijenge, arusha. Ni kawaida watu kuwa na simu zaidi ya moja yaani simu mbili mpaka tatu. Sasa kuna jamaa ana wallet ( yaan pochi) mbili. Sasa nkajiuliza kwa nn ana pochi mbili aisee, je ana hela nyingi au? Mi sijaelewa
Leo nilikuwa pande za kijenge, arusha. Ni kawaida watu kuwa na simu zaidi ya moja yaani simu mbili mpaka tatu. Sasa kuna jamaa ana wallet ( yaan pochi) mbili. Sasa nkajiuliza kwa nn ana pochi mbili aisee, je ana hela nyingi au? Mi sijaelewa
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Mar 4, 2012 #2 We acha kunisema aiseee kwani hukuona moja ina vitambulisho na nyingine pesa??? Kama vipi njoo niko BabyLon uhakikishe
We acha kunisema aiseee kwani hukuona moja ina vitambulisho na nyingine pesa??? Kama vipi njoo niko BabyLon uhakikishe