Watu na bahati zaoHuyu jamaa siku ya kupiga kura Kenya alienda na Makande (githeri) kwa sababu aliwai foleni na akuweza kunywa chai!. Kuna mtu akampiga picha na kupost ktk mitandao ya jamii,baada ya masaa kadhaa likawa tukio kubwa zaidi kuliko ata uchaguzi wenyewe.Jamaa mpaka sasa amekuwa serebrit huko kenya na ameshapewa zawadi za mamilioni pamoja na kiwanja Mjini Nairobi.Kabla ya hapo kazi yake ilikuwa ni mfagiaji wa jiji la Nairobi
aiseeHuyu jamaa siku ya kupiga kura Kenya alienda na Makande (githeri) kwa sababu aliwai foleni na akuweza kunywa chai!. Kuna mtu akampiga picha na kupost ktk mitandao ya jamii,baada ya masaa kadhaa likawa tukio kubwa zaidi kuliko ata uchaguzi wenyewe.Jamaa mpaka sasa amekuwa serebrit huko kenya na ameshapewa zawadi za mamilioni pamoja na kiwanja Mjini Nairobi.Kabla ya hapo kazi yake ilikuwa ni mfagiaji wa jiji la Nairobi
41 years is still too young bro!!Siku sio nyingi alipata deal ya kusaini kwenye kampuni ya chakula huko kenya kwa ajili ya matangazo...vilevile kampuni ya safaricom ilimzawadia simu ya kisasa ya samsunh galaxy S8+ yeye na familia yake.. Ni mzee wa maisha ya kawaida huko kenya ana miaka 41 ana mke na mtoto mmoja..Ni mfagizi/mfanya usafi ILA SASA HIVI MAMBO SAFI MUNGU KAMBARIKI MAISHA YAMEBADILIKA
source. JF KENYA FORUM
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Mungu wa Daud...Mungu wa John.....amemuona!!!!Watu na bahati zao
Pesa mkuu znakufanya uwe mdogo41 years is still too young bro!!
-Domhome-
"serebrit"...Celebrity✓Huyu jamaa siku ya kupiga kura Kenya alienda na Makande (githeri) kwa sababu aliwai foleni na akuweza kunywa chai!. Kuna mtu akampiga picha na kupost ktk mitandao ya jamii,baada ya masaa kadhaa likawa tukio kubwa zaidi kuliko ata uchaguzi wenyewe.Jamaa mpaka sasa amekuwa serebrit huko kenya na ameshapewa zawadi za mamilioni pamoja na kiwanja Mjini Nairobi.Kabla ya hapo kazi yake ilikuwa ni mfagiaji wa jiji la Nairobi
Pesa nyoko aisee, jamaa hata mwezi haujaisha keshangaaa kiasi hicho?
Nn mana y githeriUyo ni yule mzee alienda na Githeri kwenye kupiga kura Kenya.Saivi amekula shavu naona makampuni mengi yanamtumia.
Picha ya kwanza alitokea na githeri kwenye line ya kupiga kura ndiyo ikaenda viral wadau wakaanza kumfanyia photoshop akiwa na mastaa wa dunia ndiyo akatrend zaidi.Asante kwa kujua hilo. Ila nililojifunza zaidi kwa threads hii ni kuwa sasa nimepoteza imani na picha baada ya kuona jinsi mafotoshop yanavyowezekana.
dah! hii aliyeiedit amepatia kinoma
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Mkuu Mungu alipokuandikia ndipo utakapoipatia iwe ni juu ya bati au katika tundu la choo tena bila kujua, sasa jamaa alilala masikini kaamka na utajiri gharama yake ni kubeba 'makande bubu' basi.Watu na bahati zao
Maisha hayatabirikiMkuu Mungu alipokuandikia ndipo utakapoipatia iwe ni juu ya bati au katika tundu la choo tena bila kujua, sasa jamaa alilala masikini kaamka na utajiri gharama yake ni kubeba 'makande bubu' basi.
Sent using Jamii Forums mobile app