huyu jamaa na bodaboda yake sichoki kumuangalia..

huyu jamaa na bodaboda yake sichoki kumuangalia..

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,921
Reaction score
63,639
Usafiri.jpg

mia
 
If you obey all the rules, you miss all the fun.

Angetii sheria ungemiss hii fun...by the way ni hatari sana kwa hivyo vitoto vyote hapo
 
Inajulikana kwa jina maarufu ''mshikaki''. mia
 
Punda afe mzigo ufike
hii sasa sio mshikaki bali ni bucha, khaaa...
 
Ni hatari sana kwa hao watoto. Hao wakubwa wanajua wanachofanya
 
Hivi hapo ni yeye alikuwa wa kwanza kupanda au wa mwisho?
 
Back
Top Bottom