donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
haha, mpaka leo watu wanashangaa aliweza vp ku infiltrate mpaka kujiingizapaleKha!!! Eti alikuwa anaona malaika....
haha, mpaka leo watu wanashangaa aliweza vp ku infiltrate mpaka kujiingizapale
Ni mzima sana tu, wewe wafikiri nani hataki kukaa karibu na raisi wa Ulimwengu!Jamaa atakuwa sio mzima kwenye halmashauri ya kichwa chake.
hivi kuibiwa ni lazima ulipie kitu, mkuu whixh level of literacy are you in?alikuibia ulilipa chochote?
kweli mkuuMara nyingi ukijiamini huwa unapita kwenye hii misafara ya wakubwa kwani walinzi huamini kuwa usingefika pale isipokuwa ni mtu fulani.
hivi kuibiwa ni lazima ulipie kitu, mkuu whixh level of literacy are you in?
niko juu yako kwa level kama tano hivi, kiumri nk.........
you cant lose what you dont have; mwizi haibii asienacho, ukiibiwa ujue unacho, haya sema ulilipia nini kwa huyo psychopath?
acha upumbavu na mawazo mbilikimo
pia si vibaya kubehave kama vile umekuja jana............... this is a too old issue
sawa kaka hongera!
sawa mkuuusinipe hongera, nimejibu tu swali lako... so i gave you what you wanted