Huyu Jamaa Hakuna Rekodi Atakayoiacha Salama!

Mahaba yakizid hugeuka upumbavu
Mkuu yule Makombo wenu;
1. Katika mechi za kimataifa aliitwa na timu yake? Na alifunga magoli mangapi?
2. Nasikia mara ya mwisho kufunga goli darasa la 7 walikua wanapiga pindi kama kawa? Mwenzake jana kawalaza mabeki wa timu bora kabisa barani Africa, Ivory Coast na viatu.
 
Unaongea na mimi au .. Mi sina timu mkuu mi nashibikia table tennis na basket
 
Sawa Mkuu.. Ila kama unataka burudani nzito, furaha ya milele, kuongeza siku za kuishi n.k.. Karibu Simba SC. Na kwa kuanza 15/09/2018 tutakua Mtwara tukigawa dozi kwa Ndada.
 
Mahaba mazito haya
Hahaha.. Mkuu mbona hakuna Mahaba yoyote hapo. Hayo ni machache saaaana kumuhusu MK14. Sasa tukitumia kalamu zetu kuandika yote yanayomuhusu huyu jamaa, si kuna watu hawataingiza timu 30/09/2018?
 
Naona mkuu unatutisha,moto wa mabua huo,utakuja niambia
 
Avunje kwanza zile rekodi za Mavugo ulizokuwa unatuambia miaka 2 iliyopita ?
 
Hahaha.. Zile rekodi za King Mavugo za kila mechi goli kashaanza kuzivunja mapema tu, maana mpaka sasa mechi 2 goli 3 za nguvu. Alafu kama Messi mwenyewe safari hii hataachwa salama vipi kuhusu King? Ni suala la mda tu, haya niliyoyaandika yatimie.
 
Pumba
Naye si mwingine bali ni Meddie Kagere a.k.a MK14. Mpaka sasa katika ligi zote dunia hii hakuna kama yeye. Kwanini? Ungana nami.
Huyu mnyama mpaka sasa kafunga goli 10 peke yake. Mchanganuo wa hizo goli ni kama ifuatavyo;
1. Goli 3 kafunga kwenye ligi kuu
2. Kombe la Kagame katupia goli 4
3. Katika michezo ya kirafiki katupia goli 2
4. Timu ya Taifa Rwanda huko katupia goli 1, ambalo naamini mwakani FIFA watamkabidhi tuzo yake ya goli bora la mwaka.
Just imagine, September hii tu jamaa ana goli 10, ikifika mwakani mwezi wa 5 ambapo ligi zitakua zinaisha si atakua katupia goli zaidi ya 107?
Huyu jamaa hakuna rekodi yoyote ambayo ataiacha salama, mfano;
1. 30/09/2018 jamaa anaenda kuvunja rekodi ya King Kibaden ya kutupia Hat-Trick dhidi ya Ndala iliyodumu miaka na miaka.
2. Si mpaka ligi iishe, ni hapo mwakani mwanzoni tu, Meddie Kagere atakua ni mchezaji pekee aliyewahi kufunga goli nyingi katika ligi kuu ya Tanzania.
3. Messi (Eeeeh, huyo huyo wa Barcelona) naye hataachwa salama. Ifikapo May mwakani, Kagere atakua ni binadamu pekee aliyewahi kufunga goli nyingi ndani ya msimu mmoja.
Huyo ndo Meddie Kagere.

"Aminini Nawaambia 30/09/2018 Baada ya Shoo ya Kagere Taifa.. Kuna Watu Watasahau Makwao" - sembo

Nikiripoti toka viyunga vya Kigali hapa Rwanda.. Ni Mimi sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Malatu Voice)
Pumba sana we mtu ,goli za kagame sio za msimu huuu hiyo ilikuwa ni last season ,alaf goli 10 haongozi mzeeee ,unahabari ata Kane tukiesabia na kombe LA dunia kamfunika na vip kuhusu magoli aliyofunga samata kwenye ligi yao + Europa na Belgium FA cup, hayo ni mifano bado hujaenda kwa mbape na huko brasil na agentina usiropoke mzeee
 
Taratibu Mkuu..
1. Kama unasema goli za Kagame ni za msimu uliopita, ina maana Kagere aliitumikia Simba SC (Mabingwa watarajiwa wa TPL 2018/19) msimu uliopita?
2. MK14 a.k.a Mzee wa Jicho 1, amefunga goli 10 mpaka sasa, sijasema anaongoza. Tuliza akili, nimesema hapo May, Meddie Kagere atakaua binadamu mwenye magoli mengi katika sayari hii.. Ni suala la mda tu.
By the way Mkuu.. Katika pumba nilizozileta, hujaona hata vipunje kidogo vya michele?
 
Bangi inahitaji uzoefu,na siku ya kwanza kuivuta haiwezi kukuacha salama,dunia na jamii inayokuzunguka itajua kuna kitu hakiko sawa kwenye medula yako..
 
Ngoja tukutane naye huyo boya....akigusa mpira tu anakula guu la mbavu akafie mbele na bichwa lake kama sato.
Sasa Mkuu.. Jana Meddie Kagere pamoja na Ivory Coast kujitahidi kwa kila hali kumdhibiti, jamaa aliwaliza.. Pia aliufanya ukuta wao wa Berlin ulale na viatu Jana.
Mi nawaza hapa, kama mti mbichi (Ivory Coast) kaufanya hivi.. Vipi kuhusu mti mkavu (Ndala)? Na 30/09/2018 ifike.
 
Taratibu Mkuu..
1. Kama unasema goli za Kagame ni za msimu uliopita, ina maana Kagere aliitumikia Simba SC (Mabingwa watarajiwa wa TPL 2018/19) msimu uliopita?
2. MK14 a.k.a Mzee wa Jicho 1, amefunga goli 10 mpaka sasa, sijasema anaongoza. Tuliza akili, nimesema hapo May, Meddie Kagere atakaua binadamu mwenye magoli mengi katika sayari hii.. Ni suala la mda tu.
By the way Mkuu.. Katika pumba nilizozileta, hujaona hata vipunje kidogo vya michele?
sawa bhana tuliende heshima ya ligi yetu ,ila nijuavyo msimu hufunguliwa siku ya ngao ya hisani so mashindano baada ya ngao ndiyo ya msimu husika
 
Naye si mwingine bali ni Meddie Kagere a.k.a MK14. Mpaka sasa katika ligi zote dunia hii hakuna kama yeye. Kwanini? Ungana nami.
Huyu mnyama mpaka sasa kafunga goli 10 peke yake. Mchanganuo wa hizo goli ni kama ifuatavyo;
1. Goli 3 kafunga kwenye ligi kuu
2. Kombe la Kagame katupia goli 4
3. Katika michezo ya kirafiki katupia goli 2
4. Timu ya Taifa Rwanda huko katupia goli 1, ambalo naamini mwakani FIFA watamkabidhi tuzo yake ya goli bora la mwaka.
Just imagine, September hii tu jamaa ana goli 10, ikifika mwakani mwezi wa 5 ambapo ligi zitakua zinaisha si atakua katupia goli zaidi ya 107?
Huyu jamaa hakuna rekodi yoyote ambayo ataiacha salama, mfano;
1. 30/09/2018 jamaa anaenda kuvunja rekodi ya King Kibaden ya kutupia Hat-Trick dhidi ya Ndala iliyodumu miaka na miaka.
2. Si mpaka ligi iishe, ni hapo mwakani mwanzoni tu, Meddie Kagere atakua ni mchezaji pekee aliyewahi kufunga goli nyingi katika ligi kuu ya Tanzania.
3. Messi (Eeeeh, huyo huyo wa Barcelona) naye hataachwa salama. Ifikapo May mwakani, Kagere atakua ni binadamu pekee aliyewahi kufunga goli nyingi ndani ya msimu mmoja.
Huyo ndo Meddie Kagere.

"Aminini Nawaambia 30/09/2018 Baada ya Shoo ya Kagere Taifa.. Kuna Watu Watasahau Makwao" - sembo

Nikiripoti toka viyunga vya Kigali hapa Rwanda.. Ni Mimi sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Malatu Voice)
Jinga kweli mi cjui nilifikir nn
 
Back
Top Bottom