Oyaaa majomba mwera hao
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 290
- 424
Aisee sikua nafahamu hili.Yani nikimwangalia huyu huwa nacheka sana.
Kubet kulimponza na ndo kumempa umaarufu.
Sent using Jamii Forums mobile app
wa wapi huyu?Yani nikimwangalia huyu huwa nacheka sana.
Kubet kulimponza na ndo kumempa umaarufu.
Sent using Jamii Forums mobile app
wa wapi huyu?
Anatoka nchi gani?Alipewa hela na bibi yake akanunue vitu,
Akukatana na jamaa yake akamshawishi akabet .
Kwenda kubet akaliwa,sasa akaanza kulia ili arudishiwe pesa yake,watu wakampiga picha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakujua kama chadema wangemstukia mapema hivyoYani nikimwangalia huyu huwa nacheka sana.
Kubet kulimponza na ndo kumempa umaarufu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha aisee jamaa salamu pia analia, hawa wanao edit hizi picha mungu anawaona.