Huyu jamaa anafanya kweli??

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Ilikuaje hii au mazingaombwe haya
 
Attachments

  • 1420912734650.jpg
    18.9 KB · Views: 2,212
ah haha haha huyu si macho kumchuzi huyu au sio mwenyewe
 
huyu mzee ana mshipa wa kupita juu ya moto kweli siamjni hii ni editing
 
Hii habari ilishawekwa mtandaoni nadhani kulikuwa na ugeni toka uchina waliowafundisha kutembea juu ya moto
 
Acha matusi nawe utamzaa wa hivyo!
tusi liko wapi hapo we kima???acha kujipendekeza kwenye nyaya za umeme, ndo shida ya kutupa jiwe gizani, atakayepiga kelele ujue ndo limempata,kazi kujishtukia tu
 
Nakwambia utamzaa wa hivyo! Si umemwita macho kumchuzi, nakuapia utamzaa wa hivyo au utamzaa kima uliyenitukana naye. Nakuapia sana tena sana utavizaa vyote hivyo. Weka uzi huu utakumbuka siku moja
 
Mkuu, punguza jazba na msamehe bure tu.
 
Nakwambia utamzaa wa hivyo! Si umemwita macho kumchuzi, nakuapia utamzaa wa hivyo au utamzaa kima uliyenitukana naye. Nakuapia sana tena sana utavizaa vyote hivyo. Weka uzi huu utakumbuka siku moja

akupigaye shavu la kulia mgeuzie na la kushoto, wasameheni wenye kuwatendea mabaya, wasameheni wenye kuwatukana nayi mtasamehewa. Tambua maneno huumba basi hyo laana mwachie Mungu peke yake
 
Hahahahahahaaaaa, imenibidi nicheke tu, dah. Pole mkuu
 
akupigaye shavu la kulia mgeuzie na la kushoto, wasameheni wenye kuwatendea mabaya, wasameheni wenye kuwatukana nayi mtasamehewa. Tambua maneno huumba basi hyo laana mwachie Mungu peke yake

Noted, basi nimemsamehe. Lakini usimtukania mtu kilema alichopewa na Muumba wake! Namgeuzia shavu lingine namsamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…