Yani ilo sura ukute linamabonde bonde..mwanaume kuedit picha hata hainogi ptuu
Anaye mfahamu ndie aliye pakua picha zake tuanzie hapo kwanza
π³π³ππππMinguo ya rangi rangi utadhani muimba kwaya wa Efatha.
Naona ameamua kutoka kwa njia hiyo.Jina na anaishi wapi maana namuona mitandaoni maisha yake ya bei kal
Sent using Jamii Forums mobile app