Huyu Housegirl anafaa sana ila sitaki aendelee kufanya kazi hapa home. Mke wangu ni tufani

Kama kweli unampenda kiasi hicho... Mpeleke shule.. Ongea nae pembeni akuelewe.... Aombe kuondoka umlipie shule hata evening class amalize form 4
Wanaume tuna mikasa!
Lini ama nani alikwambia kusomesha mke ni jukumu la muoaji?
Sazingine jifunzeni kutokana na mada mbalimbali zitolewazo humu kila mara, jinsi watu wanavyolizwa kwa kukosea hesabu namna hiyo.
Jukumu la kusomesha mtoto wa kike ni jukumu la wazazi wake na si la kwako muoaji.
Hilo la kwanza, jambo la pili, hila ama usaliti katika ndoa huwa hauna baraka.
Yaani amzunguke mkewe aanze kusomesha mwanamke pembeni, kisha baadaye akimaliza masomo amuoe!
Mambo kama hayo hayanaga baraka. Utayafanya sawa, lakini mbeleni ni majuto na kusaga meno.
Mapungufu katika ndoa ni mengi, yanatakiwa uvumilivu kwa kila upande, utakuta naye mtoa mada anamapungufu yake kibao!
Tatizo lililoanzishiwa mada, tumelisikia kwa upande mmoja, hatujasikiliza upande wa pili kuweza kutoa ushauri sahihi.
Tunashauriwa sana kuwa, jambo lihusulo ndoa linapoletwa mbele yetu kutoa ushauri, tujaribu kusuluhisha bila kuchoka na si kuvunja.
Huyu mleta mada ametuchanganyia mada ili avune huruma zetu za kumbariki kuanzisha mahusiano na kijakazi!
Uzembe na udhaifu wa mkewe unahusianaje na wema na ukarimu wa kijakazi?
Mfanyakazi wao ameonesha anayostahili kuonesha kwa bosi wake, yaani nidhamu, upole na upendo, leo kwake limekuwa ni tatizo la kutaka kumuondosha!
Huyu hana lolote zaidi ya kuwaka tamaa kwa house girl wake na kutaka baraka kutoka kwa jamii ili kubariki ufuska wake.
Cha kumshauri ni kumkumbusha viapo vya ndoa yake juu ya uvumilivu anaostahili kuuonesha kwa mkewe katika kuiishi ndoa yake ili dhambi ya kuiasi na kuisaliti ndoa iwe ya kwake nwenyewe asihusishe watu wengine.
 
Hata huyo atafanana na mkeo akiwa mkeo. Tatizo liko kwako. Mke umtakaye hutengenezwa nawe mwenyewe. Jitafakari na ujirekebishe.
Kweli kabisaaa petro , anapaswa aishi kiume wanawake bila kuwastua kidogo hata na mingumi na mateke na kichapo cha kitandani huwaga hawana akili
 
Wanaume tuna mikasa!
Lini ama nani alikwambia kusomesha mke ni jukumu la muoaji?
Sazingine jifunzeni kutokana na mada mbalimbali zitolewazo humu kila mara, jinsi watu wanavyolizwa kwa kukosea hesabu namna hiyo.
Jukumu la kusomesha mtoto wa kike ni jukumu la wazazi wake na si la kwako muoaji.
Hilo la kwanza, jambo la pili, hila ama usaliti katika ndoa huwa hauna baraka.
Yaani amzunguke mkewe aanze kusomesha mwanamke pembeni, kisha baadaye akimaliza masomo amuoe!
Mambo kama hayo hayanaga baraka. Utayafanya sawa, lakini mbeleni ni majuto na kusaga meno.
Mapungufu katika ndoa ni mengi, yanatakiwa uvumilivu kwa kila upande, utakuta naye mtoa mada anamapungufu yake kibao!
Tatizo lililoanzishiwa mada, tumelisikia kwa upande mmoja, hatujasikiliza upande wa pili kuweza kutoa ushauri sahihi.
Tunashauriwa sana kuwa, jambo lihusulo ndoa linapoletwa mbele yetu kutoa ushauri, tujaribu kusuluhisha bila kuchoka na si kuvunja.
Huyu mleta mada ametuchanganyia mada ili avune huruma zetu za kumbariki kuanzisha mahusiano na kijakazi!
Uzembe na udhaifu wa mkewe unahusianaje na wema na ukarimu wa kijakazi?
Mfanyakazi wao ameonesha anayostahili kuonesha kwa bosi wake, yaani nidhamu, upole na upendo, leo kwake limekuwa ni tatizo la kutaka kumuondosha!
Huyu hana lolote zaidi ya kuwaka tamaa kwa house girl wake na kutaka baraka kutoka kwa jamii ili kubariki ufuska wake.
Cha kumshauri ni kumkumbusha viapo vya ndoa yake juu ya uvumilivu anaostahili kuuonesha kwa mkewe katika kuiishi ndoa yake ili dhambi ya kuiasi na kuisaliti ndoa iwe ya kwake nwenyewe asihusishe watu wengine.
Hili nalo fala la wapi... Mtoa maada amesema kampenda house girl wake jinsi anvyohidumia mtoto... Ila anamtia uzembe mke wake ambaye hafanyi chochote..... Anataka amwondoe ili mke wake a assume responsibilities... Anamuonea huruma....hataki kutembea na hg.. Ataonfokaje..... Tukasema basi mpeleke angalau shule kwa kumsaidia... Akili nyumbu hizi.. Bwana
 
Hivi katika kubadilishana mawazo, u aweza tukanaje mtu, hasa usiyemfahamu?
Unachokifikiria wewe, chaweza kuwa sahihi ama kinyume chake, sasa mwingine anapoingiza wazo tofauti na la kwako, inatakiwa ujikite kuitetea hoja yako si kwa matusi na maudhi 'kabila' hiyo.
Tujifunze kustahimiliana kwa hoja, hulka za matusi haziwezi kurutubisha mijadala.
 
Nashauri tuu mpende huyo msaidizi wenu kama mdogo wako wa kike kumla iwe ni laana kwako, ukijiwekea hii nadhiri Mungu atakubariki sana na familia yako itakuwa na balance...kwa maana ya msiyoyapata kwa mke weww na mwanao mtayapata kwa Dada yenu msaidizi
 
Tupa mke kule, ila kama ujuavyo, wanawake kabla ya kushika dola wako kama huyo housegirl, fikiria sana kabla ya maamuzi magumu, waweza juta baadaye...
 
Huyo house girl ndio wife material huko kwingine hakuna kitu. Kaa nae vizuri ongea nae kama mdau mmoja alivyo elezea. Kaa nae mweleze na mpeleke shule ama mtafutie mtaji mwanzishie biashara nina uwakika atakuwa mke mwema kwako. Na mpaka sasa hivi ndio mkeo kama anaweza kushika matapishi yako na mkeo yupo anafuga kucha.
 
Bora kukosea kuchagua kazi kuliko kuchagua mke.

Hapo huna mke, anza kujipanga kivingine
 
Mwanamke ameolewa na ana mtoto mdogo ila ana mikucha mirefu kwenye mikono muda wote amefanya make up anakuwa kama mdori ana simu janja tatu lakini sio mfanyabiashara.
 
Mkeo analiwa nje huyo. Vuta Marcelo huyo. Hapo password moja tu, Nadhani unaona dada yako anavyonitesa. Kama vp tulisongeshe X X X
 
Kwa kutaja jina "Bupe" sasa nimeshajua kuwa huo "mkoa fulani" uliojaribu kuuficha ni Mbeya. Anyway, tuache hilo. Mtazamo wangu ni huu:
1. Wewe kama dereva wa lori (familia) umeacha nafasi yako na kumwachia kondakta usukani. Kondakta anajifanyia kila anachotaka na wewe umepoteza nguvu. Huwezi kutoa kauli madhubuti. Nakushauri urudi kwenye usukani haraka sana la sivyo lori likipata ajali utalaumia wewe.

2. Kwa mwanaume baba mwenye nyumba kutembea na house girl ni udhaifu mkubwa uliopitiliza. Tena ukizingatia kuwa ni house girl wako na anaishi ndani ya nyumbani yako! Watu wingi tutajua tu kuwa wewe unapenda vitu cheap, ambayo ni inferior kwako. Yaani unaponea nafasi yako!

3. Sijui dada wa kazi (housegirl) anaumri gani lakini nakushauri usiruhusu binti yako wa kaxi kukuita kaka. Tafuta jina lingine. Kwamba ni mtu mzima basi bora akuite shemeji.

Ni hayo kwa sasa!
 
Kama kweli unampenda kiasi hicho... Mpeleke shule.. Ongea nae pembeni akuelewe.... Aombe kuondoka umlipie shule hata evening class amalize form 4
.... ahsante Sana Kwa upendo na hekima yako. Nae atende wema kama vile msaidizi wa kazi anavyotenda kwake na family yake. Atapata dhawabu kubwa mbele ya Muumba wake.
 
Pole sana...

Mkeo anasikitisha sana...

Inabidi upambane na mkeo wako, hata kwa kugombana iwe hivyo tu ili anyoke...

Usipumbwaze na ukarimu wa house girl, anafanya hayo yote kunyenyekea kibarua chake, jaribu kutembea nae uone, hapo ndiyo nae atakapoanza kutoa makucha yake...

Cc: mahondaw
.....sidhan kama huyo Dada anatenda hayo kwa ajili ya kazi. Kuna watu wana roho ya upendo na wanawapenda watoto wadogo. Tusijenge hisia hasi Kwa weledi aliojaaliwa huyo dada na hata matendo ya huruma anayotenda Kwa mwajiri wake. Mie naona anatenda hayo kwa mapenzi mema na anajiona nae ni sehem ya familia.Tukumbuke wadada wa kazi wanawaokoa vijana wengi katika kadhia mbalimbali zinazokusudiwa/kutendwa na wenza wao ambazo huwa sio njema Kwa afya yao,yote huwa ni hofu ya Mungu na upendo. Mhm mdau amtendee mema huyo dada,ni wachache wenye kutenda kama atendavyo huyo dada.
 
Ningekuwa mimi ndo nimepewa hilo jibu, "eti dunia ya sasa wote tunafanya kazi nami narudi nimechoka",
1. Ningemwambia aache kazi au achague moja kazi au ndoa

2. Ningemuweka wazi kabisa namwambia," kwa jinsi beki tatu anavyonihudumia ye ndo anastahili kuwa mke wangu we uwe beki tatu"

3. Akishindwa kubadilika napiga chini, maana mi huwa sipendagi UJINGA
 
Wanaume tuna mikasa!
Lini ama nani alikwambia kusomesha mke ni jukumu la muoaji?
Sazingine jifunzeni kutokana na mada mbalimbali zitolewazo humu kila mara, jinsi watu wanavyolizwa kwa kukosea hesabu namna hiyo.
Jukumu la kusomesha mtoto wa kike ni jukumu la wazazi wake na si la kwako muoaji.
Hilo la kwanza, jambo la pili, hila ama usaliti katika ndoa huwa hauna baraka.
Yaani amzunguke mkewe aanze kusomesha mwanamke pembeni, kisha baadaye akimaliza masomo amuoe!
Mambo kama hayo hayanaga baraka. Utayafanya sawa, lakini mbeleni ni majuto na kusaga meno.
Mapungufu katika ndoa ni mengi, yanatakiwa uvumilivu kwa kila upande, utakuta naye mtoa mada anamapungufu yake kibao!
Tatizo lililoanzishiwa mada, tumelisikia kwa upande mmoja, hatujasikiliza upande wa pili kuweza kutoa ushauri sahihi.
Tunashauriwa sana kuwa, jambo lihusulo ndoa linapoletwa mbele yetu kutoa ushauri, tujaribu kusuluhisha bila kuchoka na si kuvunja.
Huyu mleta mada ametuchanganyia mada ili avune huruma zetu za kumbariki kuanzisha mahusiano na kijakazi!
Uzembe na udhaifu wa mkewe unahusianaje na wema na ukarimu wa kijakazi?
Mfanyakazi wao ameonesha anayostahili kuonesha kwa bosi wake, yaani nidhamu, upole na upendo, leo kwake limekuwa ni tatizo la kutaka kumuondosha!
Huyu hana lolote zaidi ya kuwaka tamaa kwa house girl wake na kutaka baraka kutoka kwa jamii ili kubariki ufuska wake.
Cha kumshauri ni kumkumbusha viapo vya ndoa yake juu ya uvumilivu anaostahili kuuonesha kwa mkewe katika kuiishi ndoa yake ili dhambi ya kuiasi na kuisaliti ndoa iwe ya kwake nwenyewe asihusishe watu wengine.
Kaka hoja yako inaukakasi kidogo,mdau katika andishi lake hakuna mahali amesema anania ya kumsomesha ili awe mke au vingnevyo.Nilichokiona kwake ni mwili kuwaka tamaa juu ya msaidizi wake wa kazi na huku akiwa hataki hicho kitu kitokee kwake na hana nia ya kuachana na mke wake,labda ungelihoji n kwann anataka kumwachisha kazi na je malengo yake ni yapi baada ya hilo kufanyika. Nadhan hapo unaweza toa ushauri wenye tija kwa hii familia na namna bora ya kuyapunguza mapungufu makubwa Kwa mke wake.
 
mkuu kinachokutesa ni hiyo looking ya mkeo,wanaume wajanja na akili zao huwa hawaoi wanawake wa type uliyooa,hao ni wanawake wastarehe,most of them ukimpendelea saaana mpe mtoto,stahili yao huwa ni single mothers,sababu ya ujuaji wao,wanawake wa aina ya huyo dada wa kazi ndio huwa mke,maana lengo na maana halisi ya mke kwanza lazima uhakikishe kama anaweza kukutunzia familia yako vizuri(watoto)then hayo mengine ndio yafuate,ndio maana wengi wetu tunaweka ndani walimu,tena wa shule za msingi,maana wana maadili na wanajua kulea familia including waume zao.
Umenena vyema lkn huko kuna gharama yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom