Huyu hapa NYOKA

Nimeupenda ujumbe, hasa hapa >>> "kung'ata nyoka ni asili yake, nami kusaidia ni asili yangu".....
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
KAKA ile mitihani pale "kilingeni" ndio namaliza leo! Freedom is coming tomorrow
 
Nakuombea saana kaka.... Naamini ukimaliza mguu wa kwanza utakuwa huku... Huu ujumbe wako umenibariki sana asubuhi hii
 
Kuna mashamba mengi sana jamani!
 
Kuishi kwa kufuata falsafa za kinyonge kama hizi ni kujitengenezea taabu zisizoisha maishani..the world is too cruel! anaekuchezea 'rafu' tenga penalty mtandike bao!
 
Mungu awe nawe umezungumza ukweli asilimia 100
 
Nilichogundua ukiwa na roho nzuri (walio wengi) huwezi kubalika hata utendewe vipi?

Ni rahisi kwa mwenye roho mbaya kubadilika kuwa mwema kuliko mwenye roho nzuri kubadilika kuwa mbaya.
When a good girl goes mad. She is gone forever.
 
Kuishi kwa kufuata falsafa za kinyonge kama hizi ni kujitengenezea taabu zisizoisha maishani..the world is too cruel! anaekuchezea 'rafu' tenga penalty mtandike bao!
Imeandikwa kwenye vitabu vya dini kuwa,Atakugonga kisigino nawe utamponda kichwa
 
Kuishi kwa kufuata falsafa za kinyonge kama hizi ni kujitengenezea taabu zisizoisha maishani..the world is too cruel! anaekuchezea 'rafu' tenga penalty mtandike bao!
Aisee unapata kinywaji gani ?Ni hivyo Hamna namna ni kumfyatua tu maana ukichelewa atakuadhibu balabala !
 
Mkuu ninatumia jibapa! mifano hai tunayo, tumejeruhiwa vibaya na ndugu tena wa damu bila huruma, kwa ambao hawajaexperince ukatili wa binadamu ndio wepesi wa kuleta blaa blaa kama hizi za mleta mada.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…