Huyu hapa Ester Bulaya wa Mwaka 2023

Huyu hapa Ester Bulaya wa Mwaka 2023

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Wakuu

====
Kama ni kweli Dhambi itakuwa ndio hukumu ya Mwisho ya binadamu basi wanasiasa wengi wataangamia,ukimsikiliza Bulaya wa Mwaka 2023 na Bulaya 2025 utafikiri ni watu Wawili tofauti. Tuogope teknolojia na Mungu

Maoni yangu

Bulaya hawezi kushinda ubunge nimekaa pale
 
Esther Bulaya alikuwa ccm akahamia chadema karudi ccm baada ya kufukuzwa alikokimbilia pana shido(in bambo voice)
 
Wakuu

====
Kama ni kweli Dhambi itakuwa ndio hukumu ya Mwisho ya binadamu basi wanasiasa wengi wataangamia,ukimsikiliza Bulaya wa Mwaka 2023 na Bulaya 2025 utafikiri ni watu Wawili tofauti. Tuogope teknolojia na Mungu

Maoni yangu

Bulaya hawezi kushinda ubunge nimekaa pale
View attachment 3390442
Haiwezi kutokea😂😂😂
 
Eti leo anasema alikuwa cdm kwa mkopo na amerejea Barcelona🤣🤣🤣
 
Eti leo anasema alikuwa cdm kwa mkopo na amerejea Barcelona🤣🤣🤣

..Esther ana tatizo la kujieleza na kujenga hoja.

..Kwanza, amefukuzwa toka Chadema.

..Pili, Chadema imegomea uchaguzi.

..Tatu, Chadema imezuiwa na Mahakama kufanya siasa kwa muda usio na kikomo.

..Esther angekuwa amejiongeza vizuri, angejenga hoja kuhalalisha yeye kujiunga na chama kingine kupitia hizo sababu tatu hapo juu.

..Ni suala tu la Esther kuwa mvivu wa kufikiria na kujenga hoja. Na hilo ni tatizo la wanasiasa wengi wa Tanzania.

NB:

..Esther hakupaswa kufanya interview la Lambert na kujiapisha kuwa hatahama chama. Ni suala la kukosa busara na kushindwa kupima kauli kabla ya kuzitoa.
 
Back
Top Bottom