Hilo la kutoonekana hadharani so kweli,kila Mara anakua front line,iwe ni Iraq au Syria,shughuli zote chafu za iran znaongozwa na huyu jamaa, commands za hamas,hezbollah na houthi zko chini ya huyo jamaa...............pia yupo kwenye assasination list ya israel hvyo huwa haonekan hadharan kizembe,
Inasemeka iran nao wana shirika imara la ujasusi mnoshughuli zote chafu za iran znaongozwa na huyu jamaa, commands za hamas,hezbollah na houthi zko chini ya huyo jamaa...............pia yupo kwenye assasination list ya israel hvyo huwa haonekan hadharan kizembe,
Mzee kama huna unachokifahamu kausha ndugu.Tatizo mahaba yako kwa Iran ni makubwa mno ndio maana unashindwa kuleta habari katika uhalisia wake
nimesema haonekani hadharani kizembe mkuu, unakataa?Hilo la kutoonekana hadharani so kweli,kila Mara anakua front line,iwe ni Iraq au Syria,
Huyo ni kamanda wa revolutionary army au Quds,
Kinachompa sifa ni mbinu zake katika medani ya vita
ni kweli kabisa pia wana network kubwaInasemeka iran nao wana shirika imara la ujasusi mno
Habari imejaa mahaba matupu wewe huoni? Eti mashariki ya kati yote anatisha!! Wakati mwingine ushabiki hupovusha hata uwezo wa kufikiri na kuchanganua mamboMzee kama huna unachokifahamu kausha ndugu.
Mkuu mbona kaeleweka tu hapo sasa ingebidi umpinge kwa nondo sio lawamaHabari imejaa mahaba matupu wewe huoni? Eti mashariki ya kati yote anatisha!! Wakati mwingine ushabiki hupovusha hata uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo