Songoro
JF-Expert Member
- May 27, 2009
- 4,122
- 1,022
Mbona mbaya tu?
![]()
senk yu vere macheeeee tumekuelewa, Kwako Mzuri ni Anna Makinda na Getrude Mongela!
Mbona mbaya tu?
![]()
Wakuu mwenye picha ya huyu mdada anisaidie kuiweka hapa nipate raha ya moyo.
senk yu vere macheeeee tumekuelewa, Kwako Mzuri ni Anna Makinda na Getrude Mongela!
hamfikii mke wa michuzi:faint2:
Binti yake Kagame ndo Hatari tupu, ukitaka kujua Ufundi wa Mungu mcheki huyu mtoto,Rangi yake Chocklate,Dimpoz,NGOZI yak mtihan mtupu, kiuno kama shingo ya Mtungi ilivo, Dental formula kapewa, Nywele asilia sio zile za maiti, Aki smile lazima nawe u smile, Naskia baada ya kagame huyu mtoto ndo anaongoza kwa kupewa Ulinzi mkali zaidi,Anafaa kuwa Hawara sio Mke maana unaweza pata tatizo la moyo kuwa Mkubwa
Mbona mbaya tu?
![]()