Huyu first lady jamani ana nipasua mtima wangu.

Huyu first lady jamani ana nipasua mtima wangu.

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,466
Waungwana tuache masihara first lady wa rwanda jamani ni mtamu aisee, ngoma inaita na ile rangi yake ya chocolate,sura flani hivi nyembamba pua iliyo chongoka midomo iliyo pambwa kwa lipsi laini nyembamba,hapo bado height, figure na guu la hatari haki ya nani kagame amechagua chombo cha ukweli hakuna mke wa rais hapa east africa anae jitutumua hata robo kwa uzuri kwa mama kagame....ningekua na mahela kama bakhresa,mengi,au manji walahi ninge mtafuta huyu first lady wa kagame nimpate walau kiduchu.
 
kudadeki we noma umemega wife wa kagame
 
Ni yale yale kule hakuna jipya bora hata za sister zetu wa tz
 
Wakuu mwenye picha ya huyu mdada anisaidie kuiweka hapa nipate raha ya moyo.
 
Waungwana tuache masihara first lady wa rwanda jamani ni mtamu aisee, ngoma inaita na ile rangi yake ya chocolate,sura flani hivi nyembamba pua iliyo chongoka midomo iliyo pambwa kwa lipsi laini nyembamba,hapo bado height, figure na guu la hatari haki ya nani kagame amechagua chombo cha ukweli hakuna mke wa rais hapa east africa anae jitutumua hata robo kwa uzuri kwa mama kagame....ningekua na mahela kama bakhresa,mengi,au manji walahi ninge mtafuta huyu first lady wa kagame nimpate walau kiduchu.

weka picha yake mkuu!!!
 
Binti yake Kagame ndo Hatari tupu, ukitaka kujua Ufundi wa Mungu mcheki huyu mtoto,Rangi yake Chocklate,Dimpoz,NGOZI yak mtihan mtupu, kiuno kama shingo ya Mtungi ilivo, Dental formula kapewa, Nywele asilia sio zile za maiti, Aki smile lazima nawe u smile, Naskia baada ya kagame huyu mtoto ndo anaongoza kwa kupewa Ulinzi mkali zaidi,Anafaa kuwa Hawara sio Mke maana unaweza pata tatizo la moyo kuwa Mkubwa
 
Mbona mbaya tu?
images
 
Back
Top Bottom