Huyu father naye acheza mziki gani?

Huyu father naye acheza mziki gani?

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,064
Reaction score
991
uploadfromtaptalk1362076528791.jpg
Mwenyewe yuko bizeee!
 
ivi vizee havikujirusha enzi zile, so sasa ndo kameshtuka na kujikuta kanalazimika kubehave km wanae
 
Hana lolote zaid ya kuishia kujamba tu hapo!

Heri angeishia hapo maana huko ni kupumua tuu!! Kwa umri wake hapo msuli ukimkamata atakuwa kama mtoto mwenye degedege na misuti suti yake kama Kanda Bongoman
 
Hapo mzee alikuwa anacheza nyimbo za kundi la loketo,
 
hapa atakuwa anacheza kwasa kwasa la pepe kale na empire bakuba la 'pou moun paka bouge'
 
alikuwa disco dancer huyu, so anakumbushia...
 
Mzee anapiga kiduku..

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Magamba wamemuahidi ujumbe wa nyumba kumi
 
Back
Top Bottom