kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 6,066 Reaction score 7,557 Jul 26, 2016 #2 Anatekenya Jipu.
D Dundo_Boy JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 2,458 Reaction score 2,468 Jul 26, 2016 #3 Akitaka anunue Flat TV kwa mara nyingine ni lazima asubirie miezi takribani 6 ndpo apate pesa ya kununulia tofauti na kipindi cha msimu uliopita
Akitaka anunue Flat TV kwa mara nyingine ni lazima asubirie miezi takribani 6 ndpo apate pesa ya kununulia tofauti na kipindi cha msimu uliopita
O Offline User JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 3,828 Reaction score 2,396 Jul 26, 2016 #4 Dundo_Boy said: Akitaka anunue Flat TV kwa mara nyingine ni lazima asubirie miezi takribani 6 ndpo apate pesa ya kununulia tofauti na kipindi cha msimu uliopita Click to expand... kama kuna kaukweli fulani hivi, miezi miwili iliyopita dogo kadondosha tv, inawaka ila haionyeshi! hata hela ya kumpa fundi tu siioni tena! naisoma namba!
Dundo_Boy said: Akitaka anunue Flat TV kwa mara nyingine ni lazima asubirie miezi takribani 6 ndpo apate pesa ya kununulia tofauti na kipindi cha msimu uliopita Click to expand... kama kuna kaukweli fulani hivi, miezi miwili iliyopita dogo kadondosha tv, inawaka ila haionyeshi! hata hela ya kumpa fundi tu siioni tena! naisoma namba!
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,454 Reaction score 1,569 Jul 26, 2016 #5 Dogo ana akili za MSOGA hajui kama sasa ni CHATO