Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,329
- 33,138
lol
nimegundua kwanini wabongo wengi wanaingizwa kingi na wachina na bidhaa zao fweki..
hii thread ni mfano mmojawapo.
lakini jipya ni lipi?
Kweli kabisa hapa wanawaibia wale ambao hawana elimu angalau ndogo ya muziki. Mimi ni mwanamuziki nimesikiliza hiyo You tube.Hakuna kitu hapo...Kwa mtu mwenye idea ya kinanda utaona kwamba amewekwa tu hapo abofyebofye, lakini kiufundi haendani na wimbo unaosikika kabsaaaa!
Mkuu Kaizer, embu weka utaalamu wako hapo utujuze!.
Duh, kaa tuna mawazo kaa haya kweli kazi tunayo.Ninajuwa wote Mnamkandia huyo Mtoto wa Kichina angelikuwa Mtoto wa Kizungu mngemkubali sawa nimekueleweni wote mawazo yenu yanafanana