Huyu dogo kweli hajatulia

Huyu dogo kweli hajatulia

Lady N

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2009
Posts
1,914
Reaction score
132
Mtoto kamuuliza Mama yake: "Mama wewe unatumia Voda na Baba Zantel, mbona usiku nilisikia Baba anakuomba Tigo ukamwambia asugue taratibu, nani ana Line Mbili?!"
 
mama itakuwa simu yake ya line mbili na zote zipo hewani. Yaani atakuwa anatwangwa kote kote nchi nzima.
 
mh! Ninawasiwasi mama anasimu ya kichina ila line nne
 
Back
Top Bottom