Capitano JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 1,959 Reaction score 1,635 Apr 21, 2011 #1 Kajamaa sijui kanatafuta nini humo ni maziwa.
M mageuzi1992 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2010 Posts 2,502 Reaction score 257 Apr 21, 2011 #2 capitano said: kajamaa sijui kanatafuta nini humo ni maziwa. View attachment 27879 Click to expand... haka kadogo katakuja kuwa katechnician!
capitano said: kajamaa sijui kanatafuta nini humo ni maziwa. View attachment 27879 Click to expand... haka kadogo katakuja kuwa katechnician!
Paul Kijoka JF-Expert Member Joined Oct 25, 2010 Posts 1,399 Reaction score 256 Apr 21, 2011 #3 Dogo anacheza tu. Siunajua zao hao. Hasa wkt wa kutambaa na kusimama.
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 793 Apr 21, 2011 #4 Paul Kijoka said: Dogo anacheza tu. Siunajua zao hao. Hasa wkt wa kutambaa na kusimama. Click to expand... Hapana, dogo hachezi: umri huu watoto wanakuwa very exploratory, na kila deliberate move ina maana kubwa sana kwake: huyo dogo atakuwa anafuatilia "mali flani" kwenye aladin's cave! teh teh!
Paul Kijoka said: Dogo anacheza tu. Siunajua zao hao. Hasa wkt wa kutambaa na kusimama. Click to expand... Hapana, dogo hachezi: umri huu watoto wanakuwa very exploratory, na kila deliberate move ina maana kubwa sana kwake: huyo dogo atakuwa anafuatilia "mali flani" kwenye aladin's cave! teh teh!