Huyu dogo anaomba ushauri hizi max atapata mkopo?

Luthar

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
519
105
S0629/0548
f
10
iii
g/studies - 'd' history - 'b' kiswahili
- 'b' english - 'c'
 
Unazungumzia mkopo au nafasi ya kuingia chuoni?
Soma vigezo na masharti ya HESLB.
 
kwa mujibu wa tcu guide book kinasema kwa mtu aliyesoma combinations za art ili apate mkopo lazima awe na point 4 and above kwa hayo matokeo point nne zinafika cha msingi kumwomba mungu amsaidie apate kwasababu vigezo anavyo!
 
MWAKA 2013: A = 80 – 100; B = 75 - 79;
C = 65 – 74; D = 55 – 64; E= 45 – 54; S =
40 – 44 na F =0 – 39.
Hivyo vilikuwa viwango vya ufaulu 2013
linganisha na vya sasa.
 
Mkopo unaupata kutegemeana na kozi utakayopangiwa baada ya kuchagua... Ukilinganisha matokeo yako kwa haraka haraka na alama wanazohitaji bodi ni kama ifuatavyo........
B (2014)= C (2013 na kurdi nyuma) ambayo ni ni sawa na 2 pts
B (2014)= C (2013 na kurdi nyuma) ambayo ni ni sawa na 2 pts...
C (2014)= E (2013 na kurdi nyuma) ambayo ni ni sawa na 1 pts

Jumla ya pointi zako ni 5 kwa mujibu wa kanuni za upangaji alama kuanzia mwaka 2013 kurudi nyuma... Na kwa upande wa Kozi kutokana na Tasinia ya Sanaa 'Arts', you are eligible to select any college/ university!!!!
S0629/0548
f
10
iii
g/studies - 'd' history - 'b' kiswahili
- 'b' english - 'c'
 
Mkopo unaupata kutegemeana na kozi utakayopangiwa baada ya kuchagua... Ukilinganisha matokeo yako kwa haraka haraka na alama wanazohitaji bodi ni kama ifuatavyo........
B (2014)= C (2013 na kurdi nyuma) ambayo ni ni sawa na 2 pts
B (2014)= C (2013 na kurdi nyuma) ambayo ni ni sawa na 2 pts...
C (2014)= E (2013 na kurdi nyuma) ambayo ni ni sawa na 1 pts

Jumla ya pointi zako ni 5 kwa mujibu wa kanuni za upangaji alama kuanzia mwaka 2013 kurudi nyuma... Na kwa upande wa Kozi kutokana na Tasinia ya Sanaa 'Arts', you are eligible to select any college/ university!!!!

Convertion i umeipata wapi ww uo ni uongo. D=E=1 iv ndio guide book inavsema
 
Convertion i uwe unasoma usiseme bila kusoma, D(2014)=E(2013)=1, E(2014)= S(2013)=0.5, HIVYO ANAWEZA KUPATA ADMISSION MAANA ANA PRINCIP ZENYE 2, ILA MKOPO LABDA AMUOMBE MAURANA. NAJUA NI WEWE MWENYEWE SIO MDOGO WAKO POLE SANA NDUGU, USIKATE TAMAA TRY
 
usicomment kama huelewi,hiyo convertion ipo kwenye TCU guidebook ya mwaka huu
 
Convertion i uwe unasoma usiseme bila kusoma, D(2014)=E(2013)=1, E(2014)= S(2013)=0.5, HIVYO ANAWEZA KUPATA ADMISSION MAANA ANA PRINCIP ZENYE 2, ILA MKOPO LABDA AMUOMBE MAURANA. NAJUA NI WEWE MWENYEWE SIO MDOGO WAKO POLE SANA NDUGU, USIKATE TAMAA TRY

ww mwenyw unataka mkopo... Art kupt mkopon bht nacbu labda uwe na 7bu nyngne z kiuchumi
 
Back
Top Bottom