Huyu dogo alikuwa anajiliza kwanini?

Nilipokuwa nawaambia mara kwa mara kwamba kuna vitabia havipo sawa na haviendani na medani ya kiume kwenye ile idara yenu ya habari mlindani naleta matani. Leo mmejionea wenyewe.

Ila pia tamthilia zetu wanaume wanalia saaaana sasa sijui chanzo cha haya yote ni nini.
 
Bure kabisa kabisa!
Hatushangai! Wamekuwa laini mpaka wanajifanananisha na wanawake!
 

Hili punga. Ndo yanatumika na gersi gaya. Yamejaa hapo mengi tu yanga
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukishalelewa na wamama, nawe unakuwa kimamamama...
Vitoto vya Kiume viko too emotional kama dada zao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…