Huyu DJ amewezaje kumiliki mali zote hizi?

Huyu DJ amewezaje kumiliki mali zote hizi?

Ndio maana halisi ya maisha hiyo, hata vidole vya mkono havilingani sembuse binadamu ?
Hzo Ni nadharia za kijinga sna na za kipuuzi sipendi hzo hbr za vidole

Mbna wazungu hawna Mambo ya nadhari ya vidole
 
Nimepita mahali nikaona mapicha picha ya kijana mwenzetu dj yule wa kupiga miluzi jina limenitoka amepost picha ya ghorofa lake pmj na gari kadhaa hapo nnje yenye thamani kubwa ya dola za kimarekanj zipatazo dollars $700,000 Hivi.

Sasa Kam kawaida yangu mzee wa kohoji hoji nauliza Ni udj tu au kuna mengine nnje ya pazia.

Mbona mm mwaka 2002 had 2020 nilikuwa dj na sijapata mawe ya maana zaidi ya misozi na mitungi tu kwenye mahaurusi na kuchukuwa piss Kali ila pesa hakn inakuwaje dogo huyu kunipita parefu?

Mboni ya kawaida sana hio Mzeewangu hujaona Mahekalu wewe fika Goba, na hizo Rover ndio kabisa usisahau Harmo alihonga 2 kwa mpigo km anagawa icecream za ukwaju, ningeona kuna Benz au Fortuner New Model au Touareg New Model sio BMW kidogo ningeshtuka sana
 
Back
Top Bottom