hyo ni sodoma na gomola kama anaweza atafute mwingine mbn wapo wengi hao hawataachana kama wameanza kitambo mchezo wao na akioa baba anaweka mimba alaf unabambikiwa
kama anampenda aende naye mambo mengine yatajipa baadae. kwani wamawake tunaoa unajua kama dingi yake, padri au mchungaji wa kanisa alikuwa anapona. cha muhimu ni kupima ngoma tuuu.
mbona mimi dingi yangu alikua anambanjua demu wa bro lakini bro alikuja kumuoa na sasa hivi mshua ameshatangua mbele ya haki(muntgu amrehemu) ingawa misuguano hipo ila kawaida sana.
Muambie hiviii
'Advice is what u ask for when u know exactly what u shld do and u don't want to'
Huyo akishamuoa anaanza kutoka na mama yake, ndo atajua maharage ni mboga ya serikali.
true love has to be frrom both sides...huyo demu hampendi na kamdharau kwa kutoka na mdingi wake.huyo mshua naye pimbi...ambwage tu.... kama vipi akammege maza wa dem