Huyu demu nimuanzaje

Huyu demu nimuanzaje

Sio kila Demu anashobokea umaarufu!! We endelea kuwala hao madem cheap, anyway namba zale Nimuulize kitu
 
Natanguliza salamu wana jf wenzangu

Mimi ni radio presenter wa radio kubwa kwa huku kwetu na nimekua famous kwa sababu hii kazi kua maarufu ni kawaida..
kupitia hili nimekua nikila videmu na mara kibao hawanizinguagi sasa kuja humu kuna manzi nataka kugegeda ila nashindwa nimuamzaje coz naona kabisa sio type yangu ana mwili mkubwa kunizidi yaani mi ni kama harier ye fuso ni mzuri kinoma sasa yeye ni mwimbaji wa nyimbo za dini tena kaanza kitambo na hanaga mazoea na watu zombie aliishiwi damu nilimtafta na kuchukua namba coz nilimuahidi kumfanyia promotion na interview sasa wiki 3 zimepita now angalau tumezoeana na kwake nimefika nikimpigia simu ananilazimisha nimpe shkamoo na nazidi kuhisi haniwazi


asa nifanye nini ili nimgegede





I AM SINA JAMBO
Kumgegeda
Tu ungekuwa na malengo naye
sawa,tungefikiria tukusaidiaje.
 
Ebu ngoja miniendelee tu naakina chausiku nichokonoe....tehteehh
 
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa,afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake!-Methali 6:32
 
Back
Top Bottom