Huyu demu nimuanzaje

Huyu demu nimuanzaje

natanguliza salamu wana jf wenzangu

mimi ni radio presenter wa radio kubwa kwa huku kwetu na nimekua famous kwa sababu hii kaz kua maarufu ni kawaida..
kupitia hili nimekua nikila videmu na mara kibao hawanizinguagi...sasa kuja humu kuna manzi nataka kugegeda ila nashindwa nimuamzaje coz naona kabisa sio type yangu...ana mwili mkubwa kunizid yaan mi ni kama harier ye fuso...ni mzur kinoma...sasa yeye ni mwimbaji wa nyimbo za dini tena kaanza kitambo n hanaga mazoea na watu...zombie aliishiwi damu nilimtafta na kuchukua namba coz nilimuahid kumfanyia promotion na interview....asa wiki 3 zimepita n now angalau tumezoeana na kwake nimefika...nikimpigia simu ananilazimisha nimpe shkamoo na nazid kuhis haniwaz


asa nifanye nini ili nimgegede





I AM SINA JAMBO

Mpige Kofi
 
Ni lazima umle? Si ajabu umri wake ni sawa na Mzazi wako wa kike! Si utafute vitoto vyenzako!!!??
Kanizid miaka isiyozid mitatu

af hata ivo siku ya kwanza nagegeda nilimla rafik ake mama



I AM SINA JAMBO
 
Nahitaji shule ya namna ya kuanza kutongoza jimama au mpaka likutake lenyewe..???[emoji16][emoji16][emoji16][emoji47]
 
Back
Top Bottom