Huyu Demu ndio alieniloga uchizi

Huyu Demu ndio alieniloga uchizi

Kama huyo demu wako ni wa moro na jina lake ni Jamila basi kaza roho mkuu, huyo demu namla mie na ananiambiaga kuna fala anamsumbua yuko dar nadhani itakua ni wewe.
 
Poleee sana, na huyo mwanamke ni huyo kwa profile?
 
Siku unapoamua kumuacha wewe mwenyewe ndio siku utapata mwanga katika mahusiano.
 
Hivi hawa watoto waliambiwa na nani kama kuna forum inaitwa jamiiforums?
 
Back
Top Bottom