Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,335 Reaction score 23,951 Jun 5, 2013 #61 Binti.com said: Tangu lini uliona mtu ana-specialize atm? Leo unaweza ukadraw ya Ubungo, kesho ukadraw ya Manzese, kesho kutwa ya mwenge n.k. Click to expand... Binti.com kesho njoo u-draw yangu ya kigamboni!!!! ila hakikisha una visa card... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Binti.com said: Tangu lini uliona mtu ana-specialize atm? Leo unaweza ukadraw ya Ubungo, kesho ukadraw ya Manzese, kesho kutwa ya mwenge n.k. Click to expand... Binti.com kesho njoo u-draw yangu ya kigamboni!!!! ila hakikisha una visa card...
Baraka Roman JF-Expert Member Joined Feb 16, 2013 Posts 692 Reaction score 262 Jun 5, 2013 #62 Hiv mabasi ya Upendo ndo yale yanayotoka mkoa wa Njombe huko nyanda za juu kusin? Kama ndiyo basi kastahili kupokea hicho alichokipata. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hiv mabasi ya Upendo ndo yale yanayotoka mkoa wa Njombe huko nyanda za juu kusin? Kama ndiyo basi kastahili kupokea hicho alichokipata. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
K Karug JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 334 Reaction score 96 Jun 5, 2013 #63 Wanaume kuwa makini na baadhi ya simu! Ukiona simu inatoka kwa nyumba ndogo usikimbilie kupokea, jipange kwanza ili ujue namna ya kupangua bomu la "dear unajua hapa nilipo tumbo linaumaa na hata sina hela ya kununulia dawa.....", wadada jamani..
Wanaume kuwa makini na baadhi ya simu! Ukiona simu inatoka kwa nyumba ndogo usikimbilie kupokea, jipange kwanza ili ujue namna ya kupangua bomu la "dear unajua hapa nilipo tumbo linaumaa na hata sina hela ya kununulia dawa.....", wadada jamani..