Huyu demu kanitosa kisa elf 3000

Huyu demu kanitosa kisa elf 3000

functional

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2018
Posts
738
Reaction score
794
Hivi wanawake mmekuwaje siku hizi mbona mnapenda hela hivyo? daah siamini huyu binti mwenye mtoto mmoja amenichunia kisa nimekataa kumpa elf 3000, wakati yeye anafanya biashara yake huu ni ungwana kweli ? hapa mimi siwezi mizinga isiokuwa na maana.
 
hivi wanawake mmekuwaje siku hizi mbona mnapenda hela hivyo? daah siamin huyu binti mwenye mtoto mmoja amenichunia kisa nimekataa kumpa elf 3000, wakati yeye anafanya biashara yake huu ni ungwana kweli ? hapa me siwez mizinga isiokuwa na maana.
 
Nipe namba yake nimrushie elfu 30 ntamwambia hela imetoka kwako mie wakala tu soon ataanza kukushobokea mkuu.
 
hivi wanawake mmekuwaje siku hizi mbona mnapenda hela hivyo? daah siamin huyu binti mwenye mtoto mmoja amenichunia kisa nimekataa kumpa elf 3000, wakati yeye anafanya biashara yake huu ni ungwana kweli ? hapa me siwez mizinga isiokuwa na maana.
HUU NDO UJINGA NISIOUTAKA MIMI NDO MAANA NIKITONGOZA DEMU LEO NA LEO LEO NATAKA MZIGO .

SASA WEWE UNAMTONGOZA DEMU LEO ALAFU UNASHIDWA KUOMBA MZIGO SASA ULITEGEMEA NINI KAMA SIO KUPIGWA MZINGA SISI WENZAKO HUWA TUNAWAHI MAPEMA KUOMBA MZIGO
 
Nimejifunza mkuu sirudii makosa
 
umeona eeh? na kiukweli nilikuwa sina kitu
Ukiwaendekeza hawa mbulu kenge utakufa masikini, mimi kuna kimdada kimoja chugga kimeona weekend imetimia basi shobo zikapitiliza nikakiambia njoo faster mara hicho nikakipiga msosi wa nguvu kisha nikajusemea hivi nina gheto why nipoteze pesa hotelini nikapiga mzigo adi bonjour..!

Ghetto lenyewe liko simple kipo kitanda na jaba la maji na begi la nguo basi kesho yake nashangaa ata hakina mpango wa kusepa nikakichomoa kiujanja kufika kituoni nikakipiga 5000 nauli, kilimaind kisenge kidume nikaminya hadi mwisho juzi nakicheki eti kimenuna nikakiambia utakuja kukosa makubwa kwa over expectations zako.
 
Huyo ni demu, mwanamke hawezi kununia kisa tu umenyima buku 3, halafu wewe naye tafuta mwanamke uoe mjenge maisha siyo mademu.
 
Back
Top Bottom