functional
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 738
- 794
Kama kuna mtu yupo tayari ajitokeze nitampa namba ya simuView attachment 986683
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe namba yakeKama kuna mtu yupo tayari ajitokeze nitampa namba ya simuView attachment 986683
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekua vyema usingemuonesha sura yake...dizain kama unamchoresha hivi.Kama kuna mtu yupo tayari ajitokeze nitampa namba ya simuView attachment 986683
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ungejuaje kama ndio yeye.???Ingekua vyema usingemuonesha sura yake...dizain kama unamchoresha hivi.
Na usije shangaa ikawa alikuwa hata Ex girlfriend wake hivyo kaamua kumchafua tuIngekua vyema usingemuonesha sura yake...dizain kama unamchoresha hivi.
Dah! Kama ni hvyo sio poa kabisa aisee😡Na usije shangaa ikawa alikuwa hata Ex girlfriend wake hivyo kaamua kumchafua tu
Nimewaza kwa sauti tu sababu haiwezekani kumuweka mtu asiyemjua na kusema anataka ndoa.Dah! Kama ni hvyo sio poa kabisa aisee😡
Vyovyote ilivyo alivyofanya sio vizuri, hata kama kaiokota picha ya mtu barabarani ndio afanye alichofanya? Sio ustaarabu kabisaNimewaza kwa sauti tu sababu haiwezekani kumuweka mtu asiyemjua na kusema anataka ndoa.
Sijui lakini. Labda picha kaiokota huko mitandaoni.
Kweli kabisa usemalo.Vyovyote ilivyo alivyofanya sio vizuri, hata kama kaiokota picha ya mtu barabarani ndio afanye alichofanya? Sio ustaarabu kabisa