Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
Asanteee [emoji119]Jamaniiiiiii[emoji24][emoji24][emoji24]
Asanteee [emoji119]Jamaniiiiiii[emoji24][emoji24][emoji24]
Hajambo kabisa. Vip huko hawajambo?Mmhh
Em niambie jamanii mama HB anasemaje,hajambo??
Ndicho nilichofanya na kuhusu kumkubali kulikata toka siku tunazinguanaTumia falsafa yangu.
Mbele daima kurudi nyuma Mwiko.Kata Mawasiliano.
Gari Moshi halirudi Nyuma,
Nb:Mwenyewe utakuwa unamkubali sana huyo Manzi/Nyote mnapendana vilivyo mmeachana kimagumashi.
Au labda visherehe hivi Mtu anatufutia pakuponea.
Please shem darling 😢😢Asanteee [emoji119]
Msalimie saaana,.huku kwema karibu tufungue mabox jiraniHajambo kabisa. Vip huko hawajambo?
Itabidi ni jongeee. Yapo ya kutosha lakini?Msalimie saaana,.huku kwema karibu tufungue mabox jirani
Kama yoooooteeeeee😉😉😄Itabidi ni jongeee. Yapo ya kutosha lakini?
Inafahamika chief, ila kuna muda unaona bora vitu vingine vipite tuMkubalie, nyapu haisusiwi
Note: Kugongana sio lazima muwe wapenzi
Tulimwagana na huyu manzi, ila hivi karibuni analalamika siwasiliani naye. Kikubwa zaidi alitaka tuachane, nami nikashika hamsini zangu.
Sasa analalamika siwasiliani na yeye, simuelewi??
Okey vizuriKama yoooooteeeeee[emoji6][emoji6][emoji1]
Karibu sana jirani (jr)Okey vizuri
Asante kwa mchango wako chiefwe wasiliana naye tu hakuna namna,alikoenda amesoma ramani anaona vumbi tu na vichaka.
we mpigie simu,mtumie msg nk
Tulimwagana na huyu manzi, ila hivi karibuni analalamika siwasiliani naye. Kikubwa zaidi alitaka tuachane, nami nikashika hamsini zangu.
Sasa analalamika siwasiliani na yeye, simuelewi??
Ok,i understood...i love youPlease shem darling [emoji22][emoji22]
Asante sanaKaribu sana jirani (jr)
Asante kwa mchango wako chiefwe wasiliana naye tu hakuna namna,alikoenda amesoma ramani anaona vumbi tu na vichaka.
we mpigie simu,mtumie msg nk
😙😙😙😙😙😙Ok,i understood...i love you
[emoji173][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11]