Huyu dada simuelewi, anataka nini hasa

Fanya mambo haya
Mpe pesa
Mpe pesa
Mpe pesa
Mpe pesa
Endelea tu kumpatia pesa
 
Kumpenda mwanamke ni pamoja na kutimiza majukumu kwake kama mwanaume ikiwa ni pamoja na kumlipia kodi, chakula na kumvalisha. Alikwambia tu ila hakuwa na maana hiyo
 
Mhhhh! Sasa unataka nini penzi? kulipiwa bills zote kila mwezi au vyote Best?

Inabidi nipite JF kila siku, kuna thread zinakuja hapa unajiona ni wewe kabisa halafu eti wanaume sio wambea.
 
kwani huwezi kutoa hela na mapenzi kwa wakati mmoja?
Si yeye alisema anataka mapenzi na hayupo pale kwa sababu ya pesa.apewe pesa ya nini? Au alikuwa anatikisa kibiriti??

Wanawake wengine bwana!!
 
Aliongea kwa mafumbo! Pesa na mali awezapata hata zaidi kwa wengine au kwa kuwa na wengi! Anaridhika na mgegedo wako hivyo hata kipato chako kikiyumba ataendelea kuwa nawe! Acha uchoyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…