[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] poleee mwayaaTumekuwa kwenye uhusiano naye kama mwaka na nusu sasa. Ni single mother. Naonana naye occasionally kutokana na time table za kazi zangu na yeye kazi zake.
Mwanzoni nilikuwa namlipia bills zake zote, yaani kuanzia maji, umeme, chakula, mafuta ya gari, kujirusha weekend etc.
Siku moja tukakorofishana kidogo, akasema nisifikiri yuko na mimi kwa ajili ya vicent ninavyompa. Yeye yuko na mimi sababu ya mapenzi tu. Na akaenda mbali zaidi kudai kuwa ni bora nisimpe hela lakini nimpe mapenzi.
So mwezi uliopita nimejikausha kutuma hela, natuma meseji za mapenzi tu na simu nampigia mara kadhaa kwa siku.
Amepaki gari kwa sababu hana heka ya mafuta nampiti asubuhi na jioni kumrudisha. Tumekuwa karibu sana kipindi hiki, kwani na mimi nimestopisha safari zangu niko mjini tu, na bahati nzuri tunakaa direction sawa na mimi so kumchukua na kumrudisha is not an issue at all.
Sasa ameanza kulalamika eti nimebadilika na simjali.
Kwa kweli sielewi nifanye nini.
Tumekuwa kwenye uhusiano naye kama mwaka na nusu sasa. Ni single mother. Naonana naye occasionally kutokana na time table za kazi zangu na yeye kazi zake.
Mwanzoni nilikuwa namlipia bills zake zote, yaani kuanzia maji, umeme, chakula, mafuta ya gari, kujirusha weekend etc.
Siku moja tukakorofishana kidogo, akasema nisifikiri yuko na mimi kwa ajili ya vicent ninavyompa. Yeye yuko na mimi sababu ya mapenzi tu. Na akaenda mbali zaidi kudai kuwa ni bora nisimpe hela lakini nimpe mapenzi.
So mwezi uliopita nimejikausha kutuma hela, natuma meseji za mapenzi tu na simu nampigia mara kadhaa kwa siku.
Amepaki gari kwa sababu hana heka ya mafuta nampiti asubuhi na jioni kumrudisha. Tumekuwa karibu sana kipindi hiki, kwani na mimi nimestopisha safari zangu niko mjini tu, na bahati nzuri tunakaa direction sawa na mimi so kumchukua na kumrudisha is not an issue at all.
Sasa ameanza kulalamika eti nimebadilika na simjali.
Kwa kweli sielewi nifanye nini.
Pole aisee.Inabidi nipite JF kila siku, kuna thread zinakuja hapa unajiona ni wewe kabisa halafu eti wanaume sio wambea.
Sio wote wengine huenda wakabahatika kupata masuper starMa singo maza wana kazi humu ndani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]xax c kashindwa kukuambia then kaja kutolea machungu hapa sio vibayaInabidi nipite JF kila siku, kuna thread zinakuja hapa unajiona ni wewe kabisa halafu eti wanaume sio wambea.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Single mother wengi Wameharibika kisaikolojia...usijaribu kuwagusa
Mark my Words