Kumbe alishakulilia shida?Ni Mara ya pili ,Mara ya Kwanza sikumpa at Mia, anaondoka kwa furaha,baada Kama ya wiki mbili ananipigia kuwa ana shida nikamwambia kwa Sasa Sina avumilie Hadi mwisho wa mwezi, ndiyo tumeonana Jana Tena ,leo kanifanyia hayoo
Ni kweli mkuu tena amenitamkia nauli yeye anayo, ila aliniambia yeye aliniomba hela anashida ,so nikipata nitampa na akaikataa hiyo elfu tano, nimejiskia vibaya Sana kwali alivyoikataa pesa yangu.Kumbe alishakulilia shida?
Naona ametafsiri kuwa humjali. Unachojali ww ni pussy tu.

kwani wameuziana boss? Bado namuona jamaa yuko sawa.Pumbavu unalalaje na mtu umgalagaze usiku mzima unampa 5k